Ndoto zingine kali!

Ndoto zingine kali!

herimimi

Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
62
Reaction score
10
Jamaa mmoja alilewa sana pombe. Usiku akiwa amelala akaota ndoto anapaa na akafika mbinguni. Akawa amefurahi sana. Baadae akamwomba mungu ruhusa arudi duniani kidogo.wakamwambia ukishafika mbinguni huwezi kurudi duniani kama binadamu, labda uwe kuku,au mbuzi,nguruwe nk. Jamaa akasema anaomba arudi kama kuku. Basi akarudi. Alipofika duniani akasikia kitu kinamwasha ndani kwa nyuma,akaulize nini hiki? Wakamwambia ni yai linataka kutoka,taga,akasema sawa,akataga. Mara tena ikarudia,akaambiwa ni yai lingine linataka kutoka,akataga tena,ghafla mke wake akampiga kibao pwaaa! Akamwambia mbona unakunya kitandani? Du!
 
Du yani umenifurahisha kweli na hv viasira vya boss vimekwisha.
 
Jamaa mmoja alilewa sana pombe. Usiku akiwa amelala akaota ndoto anapaa na akafika mbinguni. Akawa amefurahi sana. Baadae akamwomba mungu ruhusa arudi duniani kidogo.wakamwambia ukishafika mbinguni huwezi kurudi duniani kama binadamu, labda uwe kuku,au mbuzi,nguruwe nk. Jamaa akasema anaomba arudi kama kuku. Basi akarudi. Alipofika duniani akasikia kitu kinamwasha ndani kwa nyuma,akaulize nini hiki? Wakamwambia ni yai linataka kutoka,taga,akasema sawa,akataga. Mara tena ikarudia,akaambiwa ni yai lingine linataka kutoka,akataga tena,ghafla mke wake akampiga kibao pwaaa! Akamwambia mbona unakunya kitandani? Du!
<br />
<br />
lol, kweli jamaa alitoa mayai orijino!
 
Mshikaji unaanza na Post ya kwanza inakuwa ni hii? Dahhh....

Asante kwa kupost hata hivyo ingawa ilishafika hapa kitambo sasa maana JF ukichelewa tu, unakuta wamekuwahi kutuma.
 
Nina wasiwasi na mayai tunayokula huenda ni binadamu wanaorudi toka kwa mola mbona hawa kuku hawajamiiani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom