Ndoto zina maana?

Ndoto zina maana?

Flamegood

Senior Member
Joined
Oct 27, 2018
Posts
129
Reaction score
293
Habari wanazengo?

Kama headline inavyosoma hapo kwa fasi ya juu. Usiku wa Leo mke wangu kaota amerudi nyumbani akiwa na mimba kama miezi miwili hivi kutoka lazini akakuta nyoka kitandani.

Nyoka huyo akamrukia shingoni na kumuuma. Je, kuna maana yoyote hapo. Naombeni mnisaidie kama kuna wataalamu wa ndoto mnitafsirie.

NB: Hatuna mtoto kwa sasa
 
Sasa hukupaswa kwa semea hiyo mimba,,,

Au mimba ni ya ndotoni?

Anewei. Maadui wapi nyuma yake kumdhuru.
 
Habari wanazengo?

Kama headline inavyosoma hapo kwa fasi ya juu. Usiku wa Leo mke wangu kaota amerudi nyumbani akiwa na mimba kama miezi miwili hivi kutoka lazini akakuta nyoka kitandani.

Nyoka huyo akamrukia shingoni na kumuuma. Je, kuna maana yoyote hapo. Naombeni mnisaidie kama kuna wataalamu wa ndoto mnitafsirie.

NB: Hatuna mtoto kwa sasa
Hukuna maana yoyote hapo zaidi ya kumfanya ahamke ili a-respond kwenye nature mfano call of nature.
 
Mkeo akipata ujauzito huyo ni mtu maalumu analetwa duniani.. Ibilisi atafanya kila namna kuangamizi huyo Mtoto asizaliwe au Mtoto akapata vita Kubwa Sana. Lakini mkidumu ktk maombi mnashinda vizuri Sana hiyo vita.
 
Mh!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom