Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Kama ndoto inaleta, kero, adha, hofu au inashtua:- Sema Audhu biLLahi mina Sheytwani Rajim
Usonge na maisha mbele....
Usonge na maisha mbele....
Ndoto za nyoka ni hatari aZidishe Sana sala huyoAcha bhan
Imewahi kukutokea au umewahi kua shahidi wa madhara ya ndoto ya nyoka?!Ndoto za nyoka ni hatari aZidishe Sana sala huyo