Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,037
- 168,677
Kijana wa Kikurya angalia usije olewa
Sawa nimekuelewa ila mbona muda nae tatizo ni ndoto tu!Jifunze kusoma alama za nyakati,current uyo sio wako tena.Angalia future yako
Sawa mra mbona niliisha acha tata wala sihangaiki naeKijana wa Kikurya angalia usije olewa
siku zote ndoto ni matokeo ya unachokiwaza sana.Sawa nimekuelewa ila mbona muda nae tatizo ni ndoto tu!
Wewe ni me au ke?pole. mkuu karibu ulingonii
Duh! Haya nitajitahidi kuwaza pesasiku zote ndoto ni matokeo ya unachokiwaza sana.
Aiseee sikujua ili [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kwani ndoa kitu gani bana!! Watu tuna hadi watoto wanne na tunadanga vilevile. Wengine tunaolewa ila wame zetu majangaaa
Cc Smart911
Natamani kupiga story na wewe maana wake za watu wengi huwa hawafiishwi kileleni na waume zao wakija huku tunawatoa hamu zote yaani furaha mpaka anasahau kuwa ameolewa anatakiwa kurudi kwa mmeweKwani ndoa kitu gani bana!! Watu tuna hadi watoto wanne na tunadanga vilevile. Wengine tunaolewa ila wame zetu majangaaa
Cc Smart911
Yaani usipojiangalia hutaoa!Niliishakata mawasiliano tatizo ni ndoto zinazoniijia mara kwa mara wala sina mahusiano nae tena.
Si mlikua mnashare nyie(sex) kwahiyo kwenye ulimwengu wa roho nafsi zimeambatana! Hivyo lzm ujitenge nae ,tenganisha nafsi zenu,huyo ana agano la ndoa tayari we ndo itakula kwako!Sina tamaa nae hata kidogo ninachojiuliza ni kwa nini,? Ndoto za kuwa nae haziishi
Aliyemuoa kala hasara!Toka niliposikia kalipiwa mahali niliacha kumtafuta yeye ndiye alikuwa kero kwenywe kunisaka ila nilimkatalia katakata mpaka siku ya kufunga ndoa alinipigia na kulaumu kwanini? Sikuhudhuria harusi yake na kuniuliza eti! Ina maana nimeamua kumuacha baada ya kuolewa nilimjibu ndiyo kuolewa ndiyo mwisho wa mahusiano yetu akasema hakubali aliendelea kupiga simu kutuma sms ila sikujibu wala kupokea wiki moja baadae akaacha na sasa ni miezi mitatu tupo kimya japo tunakaa mji mmoja.