Ndoto za Kichaa...!

Ndoto za Kichaa...!

bAbiLoN

Member
Joined
Jan 17, 2009
Posts
6
Reaction score
1
Kichaa: Mi kila nikilala naota manyani yanacheza futbol
Daktari: Hamna shida, ntakupa dawa uanze kutumia na
kuanzuia leo hutaota tena.
Kichaa: Aaa....! sa si bora nianze kutumia kesho maana
leo ndo fainali.
 
hahahahahaha dah! Mbona kazi jamani,komaa kichaa wangu usianze dose leo
 
Back
Top Bottom