Mzee ndoto zako zimetimia tayari coz tayari una IT technician coz ndo level iyo zaid ya hapo labda kua engineer labdaNilikua na ndoto kubwa ya kua IT Technician,lkn ndoto hy imekufa pale nilipomaliza diploma na kupata ufaulu wa G.P.A ya 2.9 ambapo kwa mujibu wa T.C.U ninaambiwa nimekosa kigezo cha kuendelea na degree
Nikaangalia upande mwengine wa foundation course ili nipate kujiendeleza nako pia zimesimamishwa kutolewa
Kama ulikua unataka kutafuta cheti, basi ndoto ndo zimeishia hapo ila kama unataka ujuzi wa iT unaweza ukaupata tu hata nje ya majengo ya darasa!Nilikua na ndoto kubwa ya kua IT Technician,lkn ndoto hy imekufa pale nilipomaliza diploma na kupata ufaulu wa G.P.A ya 2.9 ambapo kwa mujibu wa T.C.U ninaambiwa nimekosa kigezo cha kuendelea na degree
Nikaangalia upande mwengine wa foundation course ili nipate kujiendeleza nako pia zimesimamishwa kutolewa
nitakuja kuliandikia madaKwnn mkuu