Ndoto za degree na G.P.A

immasakha

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
489
281
Nilikua na ndoto kubwa ya kua IT Technician,lkn ndoto hy imekufa pale nilipomaliza diploma na kupata ufaulu wa G.P.A ya 2.9 ambapo kwa mujibu wa T.C.U ninaambiwa nimekosa kigezo cha kuendelea na degree
Nikaangalia upande mwengine wa foundation course ili nipate kujiendeleza nako pia zimesimamishwa kutolewa
 
Pole sana kuteleza siyo kuanguka jambo la muhimu simama usonge mbele plan B itumie
 
Sasa hv tz utadhan n nchi ya magenious....viwango vya ufaulu vimepandshwa bla maelezo ya msingi....n mambo ya kpuuz sana anafanya hyu ndalichako.....
 
Nilikua na ndoto kubwa ya kua IT Technician,lkn ndoto hy imekufa pale nilipomaliza diploma na kupata ufaulu wa G.P.A ya 2.9 ambapo kwa mujibu wa T.C.U ninaambiwa nimekosa kigezo cha kuendelea na degree
Nikaangalia upande mwengine wa foundation course ili nipate kujiendeleza nako pia zimesimamishwa kutolewa
Mzee ndoto zako zimetimia tayari coz tayari una IT technician coz ndo level iyo zaid ya hapo labda kua engineer labda
 
Nilikua na ndoto kubwa ya kua IT Technician,lkn ndoto hy imekufa pale nilipomaliza diploma na kupata ufaulu wa G.P.A ya 2.9 ambapo kwa mujibu wa T.C.U ninaambiwa nimekosa kigezo cha kuendelea na degree
Nikaangalia upande mwengine wa foundation course ili nipate kujiendeleza nako pia zimesimamishwa kutolewa
Kama ulikua unataka kutafuta cheti, basi ndoto ndo zimeishia hapo ila kama unataka ujuzi wa iT unaweza ukaupata tu hata nje ya majengo ya darasa!
 
Anzia hapo kwenye diploma yako yako ya IT... Pata ujuzi kwanza kabla ya kukimbilia cheti cha degree....
 
Embu nikuulize swali, ndoto zako ni kuendela na masomo au kutafuta kazi?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom