Hahahaaa!
Abunuasi anakata tawi la mti huku kalikalia,
Jamaa mmoja akapita na kumwambia "We Abunuasi unakata tawi na huku umelikalia utadondoka nalo wewe"
Abunuasi akabisha na kuendelea kukata,
Jamaa hajafika mbali mara Abunuasi akadondoka na lile tawi, akavunjika mkono.
Abunuasi akamkimbilia jamaa na kumwambia "Aisee umesema nitadondoka na nimedondoka kweli, umejuaje? Bila shaka wewe utakuwa Mungu, naomba unitajie siku yangu ya kufa"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.