TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 5,720
- 10,220
huwa sijishughulishi kutafsiri ndoto, muhimu ni kufanya maombi kwa imani zenu. mumkemee shetani na kuharibu nguvu zake, na kurudisha uwepo wa Mungu kati yenu. mnaweza kuongea na kiongozi wenu wa dini pia kwa sala na ushauri,
pole sana
mmmhhh???kwa elimu yangu ya ndoto ni kuwa huyo nyoka kama ni mkubwa ni dalili ya kuwa mke wako ana pepo mbaya ndani ya mwili wake na huyo shetani ni dume huwa anamjia katika usingizini kwa njia ya ndoto. Na itafika wakati atakuwa akilala na wewe kwenye kitanda huyo mke wako atakuwa analala kwa ubavu kwa pembeni hataki muwe pamoja na wewe mtakuwa mnalala kitanda kimoja na
hamfanyi tendo lenu la mapenzi tunaweza kusema ana shetani mwanamme huyo mke wako itafika wakati hata kama utakuwa unafanya nae mapenzi atakuwa hajisikii raha ndani ya mapenzi yenu. Na atakuwa akiamka asubuhi mke wako atakuwa anajisikia kama
kuumwa na kichwa kwa wakati mwengine atakuwa ni mchovu wa mwili kama vile aliyefanya kazi nzito wakati wa usingizini usiku. Nakushauri fanya hii dawa kwanza kwa muda wa kama siku 3 upate magamba ya vitunguu saumu uchanganye na maji kila anapolala
usiku awe anajipakaa yale maji yaliyochanganyika na magamba ya vitunguu saumu ili kumfanya yule shetani dume amkimbie ili ndoa yenu idumu atumie hiyo dawa kwa muda wa siku kama 3 kila usiku anapolala ajipake hayo maji ya magamba ya vitunguu
saumu kwa huo muda wa siku3. Na kama wewe na mke wako ni wakristo mpeleke kwa mchungaji akamuombee dua la kama wewe ni muislam mpelkee kwa sheikh amuombee dua ili huyo shetani mbaya amtoke ndani ya mwili wa mke wako asante. Huo ndio ushauri wangu.
pepo hilo mkuu! Kemeeni katika jina la imani yenu kaka!!!
Mzee, kama una nyumba ndogo uipige chini, sio njema kabisa waifu awe ananung'unishwa na vibanda vyako, maana na hilo joka laweza kuwa gono, kwa sababu mwisho lilitolewa, angeumwa hadi kufa tungesema ni ukimwi
Mkuu, sina nyumba ndogo wala mwanamke wa pembeni
Duuuuu!!!!!!!!Kwa elimu yangu ya Ndoto ni kuwa huyo nyoka kama ni Mkubwa ni dalili ya kuwa Mke wako ana Pepo mbaya ndani ya mwili wake na huyo Shetani ni dume huwa anamjia katika usingizini kwa njia ya ndoto. Na itafika wakati atakuwa akilala na wewe kwenye kitanda huyo mke wako atakuwa analala kwa ubavu kwa pembeni hataki muwe pamoja na wewe mtakuwa mnalala kitanda kimoja na
hamfanyi tendo lenu la mapenzi tunaweza kusema ana shetani Mwanamme huyo mke wako itafika wakati hata kama utakuwa unafanya nae mapenzi atakuwa hajisikii raha ndani ya mapenzi yenu. Na atakuwa akiamka asubuhi mke wako atakuwa anajisikia kama
kuumwa na kichwa kwa wakati mwengine atakuwa ni mchovu wa mwili kama vile aliyefanya kazi nzito wakati wa usingizini usiku. Nakushauri fanya hii dawa kwanza kwa muda wa kama siku 3 upate magamba ya vitunguu saumu uchanganye na maji kila anapolala
usiku awe anajipakaa yale maji yaliyochanganyika na magamba ya vitunguu saumu ili kumfanya yule shetani dume amkimbie ili ndoa yenu idumu atumie hiyo dawa kwa muda wa siku kama 3 kila usiku anapolala ajipake hayo maji ya magamba ya vitunguu
saumu kwa huo muda wa siku3. Na kama wewe na mke wako ni wakristo mpeleke kwa Mchungaji akamuombee dua la kama wewe ni Muislam mpelkee kwa Sheikh amuombee dua ili huyo shetani mbaya amtoke ndani ya mwili wa mke wako asante. Huo ndio ushauri wangu.
Mmmmh!ana haki ya kuogopa mie mwenyewe tu kwa kusoma nimeogopa mpaka nimetizama pande zote za hapa ofcn km kuna kitu!
Nawashauri uende mkaombewe na kumkemea huyo pepo,
Na muwe na utaratibu wa kufanya ibada fupi na kusali kabla ya kulala!
Mke wangu mwezi uliopita aliota ndoto. Ndoto yenyewe ni hii:-
eti alikuwa ameniudhi, kwa hasira nikamwambia utanikoma.
Nikaondoka kwa hasira, niliporudi nikarudi na nyoka mkubwa sana aina ya cobra, akawa ananisihi nisimdhuru na huyo nyoka.
Kwa hasira nikamuwekea huyo nyoka kwenye mkono wake.
Nyoka akawa anamtafuna mkono na hakuwa na mtu wa kumsaidia.
Watu wote walikuwa wakimshangaa, na mwishoni akasaidiwa na shehe mmoja.
Tangu ameota ndoto hiyo upendo umeshuka sana ndani ya nyumba, hamna amani, muda wote ni mnyonge na hana raha kabisa.
Muda wote amekuwa akibubujikwa na machozi na amepoteza kabisa hamu ya tendo la ndoa.
Wapendwa naomba msaada wenu, je nifanye nini ili kurudisha furaha na upendo, pia imani na amani vilivyo potea??
Je hiyo ndoto ina tafsiri au maana gani?
Naamini JF ni kisima cha hekima nitapata msaada wa kutosha kutokana na busara na hekima zennu.
Mkuu, kwa upeo wangu wa kiimani, huyo ni pepo. Tafuta mchungaji wa ukweli mkaombewe kisha na nyie msimame katika neno.
Mapepo huwa yanajiinua kwa njia nyingi. Kuna kitu kinaitwa affliction. Unaweza ukaota kakayo au mamayo au mtu yeyote unayemfahamu anakufanyia kitu kibaya. Ukamchukia na kumsema kuwa ni mchawi. Kumbe ni wachawi wanatumia sura ya huyo mtu katika kukutorment.
Sali Zaburi ya 91 kila siku kabla ya kulala. Ni Zaburi ya ulinzi. Barikiwa sana