Habari zenyu binafsi......
Tulikuwa mahali tunapata Dinner, mimi na watu wawili. Mtu wa kwanza sikumfahamu ila mtu wa pili alikuwa Mwigulu Nchemba, alikuwa kavalia zake singlendi nyeupe na suruali ya kijivu. Tukiwa tumekaa juu ya mkeka...
Chakula chenyewe kilikuwa kande za mchanganyiko wa mahindi na maharage... Tulitumia mikono kula chakula hiko, daaaah kilikuwa kitamu ajabu... Ila baada ya kula nilistuka toka usingizi, sijui kilichofatia..
Hii ndio ndoto niliyoota usiku wa kuamkia leo... Hebu wataalamu wa ndoto, hii ina maana gani??? Kula chakula pamoja na Naibu Waziri?????