Pearce
JF-Expert Member
- Dec 15, 2018
- 732
- 1,746
Niliota kulikuwa na Ndege Aeroplane ambayo inataka kufanania na Gulfstream lakini ilikuwa imepakwa rangi za jeshi
Lakini kwenye ndoto hiyo, ndege ilikuwa juu kwenye Mlima mkali wenye makorongo, na ndege hiyo ilikuwa inajaribu kupaa ili iondoke kwenye Mlima huo.
Nikawa nawaza kwenye hiyo ndoto, Ndege inahitaji eneo la refu la kuiendesha Kisha kuipaisha lakini huo mlima ulikuwa na vieneo vidogo kwahiyo ndege ilijaribu kupaishwa haraka ili iondoke kwenye mlima huo ndipo ilikuwa inazidi kushuka kwenye makorongo hayo lakini huyo rubani akukata tamaa na alikuwa akijaribu hivyo hivyo lakini ndio akawa anazidi kushuka chini
lakini mara ya mwisho akashuka kabisa kwenye utambalale kabla hajafanya mqamuzi ya kujaribu kuipaisha upya, Nikashangaa ardhi ikafunguka na kuimeza hiyo ndege.
Haikuonekana tena.
Naomba ushauri tafsiri ya hili.