Ndoto "mpya" ya kakobe yaitesa ukawa!

Ndoto "mpya" ya kakobe yaitesa ukawa!

Mimi nijuavyo watu wote hawawezi kuwa na mawazo sawa milele, wewe subiri anguko kubwa la UKAWA! Tundu Lissu alituaminisha kuwa "hakuna ndoa ya waume wengi na haitakuwa" yaani CHADEMA vs CUF! All of a sudden tumeona hiyo ndoa tuliyoambiwa haiwezekani imewezekana bila kutoa ufafanuzi wa kauli zao za mwanzo! Hapa hakuna umoja wa dhati na wakikosa kile walichokuwa wakitafuta, yaani "Serikali 3/Nchi 3" watasambaratika kwa kuwa hawatakuwa na "Common Cause!"

soma vizuri niliacho andika, nimesema lengo moja, sijasema mawazo yanayofanana, hata ndani ya chama kimoja hawawezi kuwa na mawazo yanayo fanana. nani kakwambia kuwa ukawa ni umoja? huo ni ushirikiano kwa lengo maalum. Lengo likifikiwa au likashindwa kufikiwa ushirikiano ndo unafikia mwisho mpaka kuwe na lengo lingine la kusababisha kushirikiana kuendelee.
 
Wana Ukumbi,

Kama ilivyo kawaida kwa askofu Kakobe kuota ndoto mbalimbali kuhusu mambo yanayohusu mstakabali wa taifa letu. Askofu Kakobe ameota ndoto nyingine ambayo inawahusu UKAWA na harakati zao za kudai katiba ya wananchi.

Katika ndoto hiyo ya askofu Kakobe ambayo ameitoa leo katika ibada ya jumapili kwenye kanisa lake, amesema kuwa, kutokana na hali ya ubaguzi uliokithiri kwenye upinzani kupitia umoja wao huo wa UKAWA, haoni kama kutakuwa na mafanikio yoyote ya malengo ya wana UKAWA.

Askofu Kakobe katika kufafanua alieleza kwamba, viongozi wa UKAWA hasa mhe Mbowe hakuwa sahihi katika maamuzi yake ya kuwatenga waasisi wa upinzani nchini, akimaanisha mhe Mrema. Hivyo, kitendo hicho cha ubaguzi kitaondoa baraka iliyokuwa imepandikizwa awali kwenye umoja huo.

My take,

Ni vyema sasa mhe Mbowe akachukua onyo hili na kufanya maamuzi sahihi ya kumuunganisha mhe Mrema na UKAWA. Kwa kuwa wote tunajua nguvu ya kiutabiri aliyonayo nabii Kakobe.

Ndugu yangu!! inasikitisha sana mtu mzima kuongea au kuanzisha mada ambayo hata roho yako, nafsi yako na mwili wako vinajua ni uongo.......................... ndiyo maana neno linasema kuwa siku ile watu watamani kula ndimi zao!! Angalia hay uyanenayo leo Usipotubu siku ile kuu kwako itakuwa kilio cha kusaga meno.
 
Wana Ukumbi,

Kama ilivyo kawaida kwa askofu Kakobe kuota ndoto mbalimbali kuhusu mambo yanayohusu mstakabali wa taifa letu. Askofu Kakobe ameota ndoto nyingine ambayo inawahusu UKAWA na harakati zao za kudai katiba ya wananchi.

Katika ndoto hiyo ya askofu Kakobe ambayo ameitoa leo katika ibada ya jumapili kwenye kanisa lake, amesema kuwa, kutokana na hali ya ubaguzi uliokithiri kwenye upinzani kupitia umoja wao huo wa UKAWA, haoni kama kutakuwa na mafanikio yoyote ya malengo ya wana UKAWA.

Askofu Kakobe katika kufafanua alieleza kwamba, viongozi wa UKAWA hasa mhe Mbowe hakuwa sahihi katika maamuzi yake ya kuwatenga waasisi wa upinzani nchini, akimaanisha mhe Mrema. Hivyo, kitendo hicho cha ubaguzi kitaondoa baraka iliyokuwa imepandikizwa awali kwenye umoja huo.

My take,

Ni vyema sasa mhe Mbowe akachukua onyo hili na kufanya maamuzi sahihi ya kumuunganisha mhe Mrema na UKAWA. Kwa kuwa wote tunajua nguvu ya kiutabiri aliyonayo nabii Kakobe.

Huyu kakobe nae n muongoo..!! Kwny hutba yake alisema tanganyika iachwe kama nchi huru na zanzibar iachwe kivyake..!! Leo hii anasema vingine..!! Ama kwl hii n tz at 50..!!
Faizafroxy kapatia sana kusema wajinga waliwao
 
hivi Kakobe kasahau kwamba ni Mrema huyu huyu ndiye aliyetumwa kuisambaratisha NCCR. Kazi akaimaliza vizuri sasa anakula pensheni taratiibu.
 
Acha kukurupuka na kuamini uongo huu, soma post zilizotangulia!
 
hivi Kakobe kasahau kwamba ni Mrema huyu huyu ndiye aliyetumwa kuisambaratisha NCCR. Kazi akaimaliza vizuri sasa anakula pensheni taratiibu.

Mkuu, thread hii ni uzushi mtupu, Kakobe hajasema haya. Ni Interahamwe wanatapatapa! Soma post zilizotangulia !!
 
Angesema kuwa kaoteshwa ndoto ya "Serikali 3/Nchi 3" ungemshangilia na kurukaruka kwa furaha! Tatizo la ndoto yake ni pale inapokuwa tofauti na mawazo yako!

(''Ange''-sema.......''Unge'')- Hapo bado unarudi kwenye suala lile la MAKISIO au MAONO BINAFSI(ambayo ni sawa tu na NDOTO). Huna hakika na mtazamo wangu juu ya hilo, ndo maana uwezo wako unaishia hapo hapo ulipoishia kufikiri-expect no more.
 
Huyu mtoa mada hii amesema UONGO WA MCHANA KWEUPE!.Zimeshajibiwa tangu jana kwamba jana Askofu Kakobe hakusema lolote kabisa kuhusiana na UKAWA.Hizi ni propaganda za uongo za kutaka kupotosha jamii.
user-offline.png
filadelfia

Yesterday 21:30
#30

MemberArray

Join Date : 29th June 2011
Posts : 22
Rep Power : 454
Likes Received2
Likes Given3

icon1.png
Re: Ndoto "mpya" ya kakobe yaitesa ukawa!

Moderator, Mtoa mada ameandika hapa UONGO WA MWAKA. Mimi nilikuwepo katika Ibada ya leo kwa Kakobe, na Askofu Kakobe hakuzungumzia hata neno moja la siasa au lenye "implication" ya kisiasa. Muda wote amezungumzia umuhimu wa Wakristo kuhubiri pia Injili mahali pengine mbali na eneo la nyumbani kwao walikozoea kuhubiri. Kichwa cha somo kilikuwa "NIPATE KUHUBIRI HUKO NAKO" na Neno la Msingi lilitoka katika MARKO 1:35-38. Moderator ondoa uchafu huu hapa, kwa sababu kila aliyekuwako katika ibada ya leo atashikwa na mshangao mkubwa kuuona uongo huu hapa!​

(''Ange''-sema.......''Unge'')- Hapo bado unarudi kwenye suala lile la MAKISIO au MAONO BINAFSI(ambayo ni sawa tu na NDOTO). Huna hakika na mtazamo wangu juu ya hilo, ndo maana uwezo wako unaishia hapo hapo ulipoishia kufikiri-expect no more.

Kama hufuatilii mijadala humu huwezi kunielewa!
 
Kila mtu amepewa nafasi ya kushiriki/kuchangia mjadala unaotokana na mada kuu iliyowekwa hapo juu. Sasa sijaelewa unawashwa na nini mpaka ukaanza kujadili mchango wangu. Mimi nafuatilia mijadala yote inayoletwa hapa,na ndio maana sijamjadili mchangiaji yeyote humu ndani ila nimejadili hoja iliyopo hapo juu,sina nafasi ya kuanza kukufuatilia eti leo umesema nini ili nikuelewe! Huhitaji degree ili kuelewa ni nini cha kufanya uonapo mada imeletwa,ni UTIMAMU tu unatosha kukupa direction; CHRONICAL CRITICALIST!!
 
Wana Ukumbi,

Kama ilivyo kawaida kwa askofu Kakobe kuota ndoto mbalimbali kuhusu mambo yanayohusu mstakabali wa taifa letu. Askofu Kakobe ameota ndoto nyingine ambayo inawahusu UKAWA na harakati zao za kudai katiba ya wananchi.

Katika ndoto hiyo ya askofu Kakobe ambayo ameitoa leo katika ibada ya jumapili kwenye kanisa lake, amesema kuwa, kutokana na hali ya ubaguzi uliokithiri kwenye upinzani kupitia umoja wao huo wa UKAWA, haoni kama kutakuwa na mafanikio yoyote ya malengo ya wana UKAWA.

Askofu Kakobe katika kufafanua alieleza kwamba, viongozi wa UKAWA hasa mhe Mbowe hakuwa sahihi katika maamuzi yake ya kuwatenga waasisi wa upinzani nchini, akimaanisha mhe Mrema. Hivyo, kitendo hicho cha ubaguzi kitaondoa baraka iliyokuwa imepandikizwa awali kwenye umoja huo.

My take,

Ni vyema sasa mhe Mbowe akachukua onyo hili na kufanya maamuzi sahihi ya kumuunganisha mhe Mrema na UKAWA. Kwa kuwa wote tunajua nguvu ya kiutabiri aliyonayo nabii Kakobe.

Nimeshakuelewa Unakazi Maalumu, safi sanaa mkuu! ngoja nilale sasa.
 
Kila mtu amepewa nafasi ya kushiriki/kuchangia mjadala unaotokana na mada kuu iliyowekwa hapo juu. Sasa sijaelewa unawashwa na nini mpaka ukaanza kujadili mchango wangu. Mimi nafuatilia mijadala yote inayoletwa hapa,na ndio maana sijamjadili mchangiaji yeyote humu ndani ila nimejadili hoja iliyopo hapo juu,sina nafasi ya kuanza kukufuatilia eti leo umesema nini ili nikuelewe! Huhitaji degree ili kuelewa ni nini cha kufanya uonapo mada imeletwa,ni UTIMAMU tu unatosha kukupa direction; CHRONICAL CRITICALIST!!

Mkuu nafikiri aliyewashwa ni wewe kwa kukimbilia kujibu Post yangu hapo juu na ndipo nilipojibu ya kwako!!
 
Mrema anataka maoni ya ccm yaheshimiwe na sio ya wananchi,je hataingiaje UKAWA? []... nadhani katika kumlisha maneno Kakobe mmesahau mkachanganya na baraza kivuli la bunge la jamhuri...ni vyema mkajipanga vizuri...
 
Kama mnakumbuka katika uchaguzi wa mwaka 1995 kakobe alimuunga mkono mrema na alitembea kwenye sehemu nyingi kwenye kampeni nakumbika pia aliota ndoto kuwa mrema ataahinda uchaguzi.
 
Kama mnakumbuka katika uchaguzi wa mwaka 1995 kakobe alimuunga mkono mrema na alitembea kwenye sehemu nyingi kwenye kampeni nakumbika pia aliota ndoto kuwa mrema ataahinda uchaguzi kilichitokea mnajua najua mhaba na mrema bado yanamtesa.
 
Mrema anataka maoni ya ccm yaheshimiwe na sio ya wananchi,je hataingiaje UKAWA? []... nadhani katika kumlisha maneno Kakobe mmesahau mkachanganya na baraza kivuli la bunge la jamhuri...ni vyema mkajipanga vizuri...

Mrema akija UKAWA atawapiga shule kwmba Serikali 3 ni sumu ya Muungano na kwamba kama uwingi wa Serikali ndio dawa basi kila kijiji kiwe na Rais wake, wimbo wake wa Taifa, Bunge lake, nk!
 
ok. Kwa iyo kakataliwa UKAWA au akwenda mwenyewe? na vigezo vya kuwa ukiwa ni kuwa lazima uwe mpinzani?
 
Back
Top Bottom