Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,373
- 8,283
Upweke mbaya sana aisee fanya kuvuta jiko mkuuHabarini
Aisee nimeota ndoto ya ajabu sana leo.
Nimeota nafunga ndoa na mwanamke mzuri mweusi kabila mhaya and nimeonana hadi na wazazi wake usiku huo tena nikiwa nusu nafaham
Hii ndoto nimeiota karibu usiku mzima coz nlikuwa nikistuka nikipitiwa tu usingizi inaanza tena.
Nimefunga hii ndoa nikiwa nusu ninafaham and nusu nimesinzia, mpaka nlikuwa najishika naona nipo na faham ila tukio linaendelea
Ndoa imeisha kufungwa nikapelekwa kutambulishwa kwa baba wa mschana, bahati mbaya nimesahau jina la baba mkwe ila hadi naamka nlikuwa nalikumbuka. Nimetambulishwa nikiwa najitambua japo nipo usingizini.
Mschana anafanan na dada ambaye namdai deni kubwa almost molion 3 ila hatujawahi kuonana nlimkopesha tu kwa kutambulishwa na ndugu yangu kuwa kama mdhamini wake nikamkopesha hiyo hela kwa awamu tatu na hajalipa hata senti.nlimjua sura kupitia status zake.
Bila shaka wewe ni mlokoleMkuu hii ni very serious issue, usiichukulie poa.
Hapo umeingia kwenye maagano ambayo yatakusumhua sana kwenye maisha yako.
Fanya maombi kwa kufunga ukimuomba Mungu avunje hilo agano uliloingia. Kama huwezi mtafute mchungaji yeyote muelezee akufanyie maombi.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Umri ushapita kuangalia hayo madudePunguza shibe kabla ya kulala,pia kama unatizama filamu za ngono Wacha mara moja
😂 avatar yako ina twerkHilo ni jini kabisa, tena jini makata
A million dollar question😃😃Umejuaje kama ni mhaya?
Jina la baba yake mkuu lilikuwa la kihaya, pia sura sio ngeni sana and sikumbuki nlimuona wapi huyu mzeeA million dollar question[emoji2][emoji2]
SioBila shaka wewe ni mlokole