bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,651
- Thread starter
- #21
Hili nalo bado ni changamoto sijajua kwa uhakika but yawezekana kuingia ubia na kampuni za bima but pia kpata ruzuku toka serikalini but nadhani linahitajika pia kutafitiwa namna gani linaweza kuingiza mapato.Unawezaje kupata profit kwenye investment hii, yaani pesa unaingizaje