Ndoto inayonisumbua

Ndoto inayonisumbua

Wachana na Imani za kipumbavu hakuna muujiza unaokuja wala utakao tokea kwa pambana na hali yako tumika utapata yesu yesu yesu ujinga mtupu toa jasho utapata jibu
Nina mashaka na uwezo wako wa kusoma na kuelewa.
Lakini asante kwa maoni yako.
 
Mkuu ni kwa vile unaenda kanisani au kwa lugha nyingine wewe ni mkristu ila huamini ukristu ,ni hali inayokinzana inayokufanya ufeel guilty …unaliota sababu lipo subcounscious linakujia kwa njia ya ndoto ila ni kitu ambacho kipo mawazoni mwako...cha kufanya mkuu nenda dini ambayo mawazoni kwako ndio sahihi utakua na amani
Asante kwa ushauri wako Kiongozi.
 
Aksante kwa kunithibitishia kuwa wewe ni kichaa kamili. Usijali, waombe ndugu jamaa na marafiki wakuwahishe mirembe hospital Dodoma. Tiba kule ni bure tu. Au wakupeleke kwenye rehab yeyote karibu na wewe. Watakusaidia kuondoa hiyo arosto.
Acha hao mamilioni wanaoziamini nguvu za Kimungu waendelee kuwa wajinga kasoro wewe soro mmoja tu aliye erevuka. So sorry.

Eti wewe ndio mtu wa Mungu unatukana kama mwehu?

Mungu wako ndio kakutuma utukane namna hii?Basi atakua mpuuzi sana kama wewe ulivyo!

Mungu (null and void) akiaminiwa na watu wengi haimaanishi ni kweli yupo..

You are all waste of space!
 
Mimi ni kijana wa Kikristo ninayeabudu kupitia dhehebu la Kanisa Katoliki.
Ila si mtu wa dini sana,hata kanisani huwa naenda mara chache sana kwa mwaka.
Lakini nimekua nikiota ndoto moja ya kiimani mara kwa mara,haiwezi kupita mwezi sijaota ndoto hii.

NDOTO YENYEWE:
Usiku wa manane ghafla najikuta napambana na nguvu ambayo haionekani kwa macho,hiyo nguvu napambana nayo kwa njia ya MAOMBI,nakemea sana hiyo nguvu kwa kulitaja jina la Yesu (kama vile wafanyavyo walokole).
Kuna wakati huwa kama inakaribia kunishinda (huwa nahisi kama napoteza nguvu),ila kadri ninavyozidi kulitaja jina la Yesu mara nyingi ndivyo nguvu hivyo inaposhindwa kuendelea na mapambano.

SWALI:
Ni nini maana ya ndoto hii ambayo imekua ikikatisha usingizi wangu mara kwa mara?
Nini nifanye kuepukana na ndoto hii?
kunywaga konyagi bapa moja na kilo ya kitimoto hutaiona tena
 
Eti wewe ndio mtu wa Mungu unatukana kama mwehu?

Mungu wako ndio kakutuma utukane namna hii?Basi atakua mpuuzi sana kama wewe ulivyo!

Mungu (null and void) akiaminiwa na watu wengi haimaanishi ni kweli yupo..

You are all waste of space!
Yaani unathibitisha kuwa unatumia kilevi flan hivi nacho sasa naomna hakikuendei vyema. Nimetoa tusi gani katika andiko langu?? Una shida kubwa na unahitaji msaada wa Mungu tu.
Neno la Mungu wangu daima ni la kweli. Zaburi 14 : 1 Mpumbavu amesema moyoni mwake; Hakuna Mungu.
Hivyo wewe neno la Mungu linakuita "MPUMBAVU" sio mimi. And that is what yu are. Funny is it not?
 
Yaani upo very delusional sana!

Yaani dini imezingira ubongo wako mpaka imeziba ufikiri wako!

Unaaniandikia mahesabu "Zaburi 14:1" ndio madudu gani hayo?..Kitabu unakitambua wewe na unakiamini wewe,mimi sikitambui na wala siamini kilichoandikwa humo.

Hivi hujui kwenye hii dunia kuna wanadamu hawatambui upumbavu wowote wa hivo vitabu na dini yako unayojifanya by default wanadamu wote tunaijua na kuifatilia..such selfish creatures!

Mungu wako nae ni mpumbavu kama anageuka kutukana watu ni wapumbavu sababu tu hawamtambui.....jinga la ajabu kabisa!

Yaani ni jitu lenye wivu,haramia,lenye matusi,lenye hasira,lisilo na upendo wowote....Utatukanaje watu ambao it happens hawakutambui wala kukubali?Such a very sadistic and ignorant deity!

Mungu wenu ni mpumbavu mno ndio maana nyie wafuasi wake ni wajinga kupindukia....Mungu wako anatukana,halafu wewe unajifanya eti sijakutukana mimi ni neno la Mungu ndio limekuita Mpumbavu.....mijitu ya kuzunguka circles!

Nyie ni hypocrites wakubwa!

Mnang'ang'ania kila mtu duniani afate mnachoamini nyie,hicho kinaitwa Theocracy!...Ni some form of violence!You are all such violent people!

Mbuzi mee nyie na huyo Mungu wenu muandishi wa vitabu!
 
Mimi ni kijana wa Kikristo ninayeabudu kupitia dhehebu la Kanisa Katoliki.
Ila si mtu wa dini sana,hata kanisani huwa naenda mara chache sana kwa mwaka.
Lakini nimekua nikiota ndoto moja ya kiimani mara kwa mara,haiwezi kupita mwezi sijaota ndoto hii.

NDOTO YENYEWE:
Usiku wa manane ghafla najikuta napambana na nguvu ambayo haionekani kwa macho,hiyo nguvu napambana nayo kwa njia ya MAOMBI,nakemea sana hiyo nguvu kwa kulitaja jina la Yesu (kama vile wafanyavyo walokole).
Kuna wakati huwa kama inakaribia kunishinda (huwa nahisi kama napoteza nguvu),ila kadri ninavyozidi kulitaja jina la Yesu mara nyingi ndivyo nguvu hivyo inaposhindwa kuendelea na mapambano.

SWALI:
Ni nini maana ya ndoto hii ambayo imekua ikikatisha usingizi wangu mara kwa mara?
Nini nifanye kuepukana na ndoto hii?
sasa kama si mtu wa dini sana na umeona kabisa unashinda hiyo nguvu kwa jina la Yesu, kwa nini usiamue kuwa mtu wa dini kweli kweli ili hata kuiota tu usiote.
 
Back
Top Bottom