Ndoto gani tena hii.

Kifai

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
816
Reaction score
174
Bandugu, nisaidieni hii ndoto kwa wale wanaojua kuzielezea ndoto, ucku kucha mke wangu amekuwa anaota kama anang'atwa na nyoka, tafsiri yake nini hii?
 
Kuna kijamaa kinamsumbua sana lakini yeye anakikataa, sasa hapo anaona bado kinamvizia ili kiendelee kumuomba mchezo mchafu. Hivyo anajitaidi kukitolea nje lakini kijamaa bado kinapambania penzi.
 
Bandugu, nisaidieni hii ndoto kwa wale wanaojua kuzielezea ndoto, ucku kucha mke wangu amekuwa anaota kama anang'atwa na nyoka, tafsiri yake nini hii?

Nyoka huwa hang'ati sasa kama yeye huwa anaota anang'atwa itakuwa ni stress za ugumu wa maisha.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Akaombewe nyoka ni ishara ya shetani inawezekana ana mapepo. Kama unaamini maombi ya ki - Biblia tafuta wanamaombi wakupe msaada.
 
watu tuna mambo?

Ndo inakuhangaisha wakati umeshaamka??
 
Kama ana mimba atazaa dume, kama hana mimba mwambie awe ana sali sana ina onyesha hasali kabisa.
 
Kuna mawili, km ana mashetan bas ndo hayo yanamsumbua bt km hana inamaana ya adui.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…