PreGE2025 Ndolezi Petro: Viongozi wasiochaguliwa na Umma hawawajibiki ipasavyo

PreGE2025 Ndolezi Petro: Viongozi wasiochaguliwa na Umma hawawajibiki ipasavyo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Mwanachama wa ACT Wazalendo ambaye pia ni Waziri Kivuli Ofisi ya Waziri Mkuu- Bunge, Sera, Vijana, Kazi na Ajira, Ndolezi Petro amesema wanamuunga mtu yeyote anayekuja na hoja ya mabadiliko kwa sababu viongozi wasiochaguliwa na umma huwa hawawajibiki ipasavyo.

Ndolezi ameyasema hayo katika Kipindi cha Front page (GlobalTV)na kueleza kuwa tofauti yao na Chadema kwenye suala la uchaguzi, ni kwamba wao hawasemi 'no election' lakini wanataka 'reforms'.


Soma Pre GE2025 - Dkt. Slaa: Makosa yanayofanywa na serikali yanatupa nafasi ya kujulikana dunia nzima
 
Back
Top Bottom