Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,661
Kwa walioangalia sherehe za kuapisha mawaziri ,waliona pale meza kuu kiti cha dr shein ..kilichokuwa pembeni ya waziri mkuu pinda na Maalim kilichokuwa pembeni ya Bilal ...vilikuwa wazi,yaani walitegemea kufika hadi viti vikapangwa lakini hawakufika ....kwa nini??
Tulitegemea kurugenzi ya mawasiliano iwe imetoa kauli kwani ile imetia doa shughuli nzima ya kuapisha mawazi...kwani kama ilijulikana wasingekuja hata viti visingelipangwa......
Pale mbele tuliwaona....pinda ,seif idd,naibu spika ,kificho,na bilal...na viti viwili wazi...spika makinda inajulikana wazi kuwa yupo ziarani ....Botswana...