Aisee hayo maswali naona kama kunatupoint humu kaka mama mkwe hamuamini mkwewe kwanini alimkabidhi mwanae?.......... haya ngoja ajibu tuoneKaka yako ana umri gani na wewe una umri gani?
Mkwe hamuamini kaka yako anakutaka wewe, wewe ndio umeoa? Mpaka sasa wewe uko upande wa kaka au shemeji?
Hilo fumanizi likikuwa live au la kuambiwa? Alifumania mkewe akigegedwa au akitongozwa?
Aisee hayo maswali naona kama kunatupoint humu kaka mama mkwe hamuamini mkwewe kwanini alimkabidhi mwanae?.......... haya ngoja ajibu tuone
Mi naamini usuluhishi wa mgogoro wa wanandoa unaohusiana na mafumanizi hufanywa na wanandoa wenyewe tena kwa siri baina yao. Mfumaniaji hulazimika kusamehe na kusahau. Tatizo kama hili likishafika kwa mtu wa tatu ujue majeraha huwa hayaponi.
İmajin huyu kaka mtu amsamehe mkewe mbele ya mdogo mtu.... Familia nzima ya upande wa kiumeni watamwona mme bw.ege Maisha gani hayo.
Nalo neno inaonyesha huyo mwanamke alikuwa anataka kuachika tu,kama kweli ilikuwa bahati mbaya kile kipondo angeshukuru na asingethubutu kukimbilia kwao sasa kwa mama mama yake alieleza sabab ya kupewa kichapo na mama mkwe anaenda kusuluhisha nini wkt mtoto wake ni kicheche na aibu iko kwa mama na mtoto wake,kwa jinsi ninyoona hapo kama kaka amewatumia vitisho maana yake anamwita mdogo wake aje ashuhudie jinsi watu wanavyokatwa mapanga hakuna jingine!Mi naamini usuluhishi wa mgogoro wa wanandoa unaohusiana na mafumanizi hufanywa na wanandoa wenyewe tena kwa siri baina yao. Mfumaniaji hulazimika kusamehe na kusahau. Tatizo kama hili likishafika kwa mtu wa tatu ujue majeraha huwa hayaponi.
İmajin huyu kaka mtu amsamehe mkewe mbele ya mdogo mtu.... Familia nzima ya upande wa kiumeni watamwona mme bw.ege Maisha gani hayo.
asante sana Asprine kifupi ni kwamba mimi nina miaka 28 na kaka ana miaka 38!!!,, kuhusu fumanizi hawakuwa ktk tendo!! na upande wa mama mkwe kuniamini!!! kuna kipindi iliwahi kutokea migogoro kwenye hiyo familia na hicho kipindi nilikuwepo!!! nikashilikishwa kutoa maoni!! kati ya mambo niliyoyatoa yalizaa matunda!!!,,
Nalo neno inaonyesha huyo mwanamke alikuwa anataka kuachika tu,kama kweli ilikuwa bahati mbaya kile kipondo angeshukuru na asingethubutu kukimbilia kwao sasa kwa mama mama yake alieleza sabab ya kupewa kichapo na mama mkwe anaenda kusuluhisha nini wkt mtoto wake ni kicheche na aibu iko kwa mama na mtoto wake,kwa jinsi ninyoona hapo kama kaka amewatumia vitisho maana yake anamwita mdogo wake aje ashuhudie jinsi watu wanavyokatwa mapanga hakuna jingine!
naona UMEkuwa MSHENGA....muulize Bro hajawahi kuchombeza pembeni na KUMCHOJOA dem nguo bila kufumaniwa...endapo ndio bac amsamehe....Ujue BRO ako now days hachajishi vya kutosha...HAPELEKESHI MASHAMBULIZI ka zamani na pia mfuko umepwayaaaaa
Habari/ wanajf natumai muwazimaa!!,,
Naitaji mawazo yenu kunusuru ndoa hii ya kaka yangu iliyodumu Miaka 13,shemeji yangu alifumaniwa wiki iliyoisha!! na akapewa kichapo,,na akakimbilia kwa Mama yake!! jana mida ya saa mbili kaka yangu kanitumia sms kuwa Asbuhi ya leo mkwe na mkewe wanakuja kwake!!! ili kutatua hili tatizo,, kufika asbhi mama mkwe naye kanipigia simu kuniomba niwepo maana, Hana Iman na kaka yangu!! kwani keshawatumia sms nyingi za vitisho!!! ,,
mshauri bro aachane nae huyo mwanamke,hana maana kitendo cha kutoka nje ya ndoa ina maana hajaridhka na bro wako so hata wakirudiana mwendo utakuwa uleule