ndoa

ndoa

RAYHAN

Member
Joined
May 12, 2013
Posts
21
Reaction score
9
wapendwa na ishi ktk mahusiano ya kinyumba na mwenzangu zaidi ya miaka saba,lakini kila nitakapo mwambia tuoane hataki na mpaka sasa anaendelea kusimama katika msimamo wake huo huo,(malengo yangu nikutimiza sheria za dini ili tuishi kwa amani zaidi).mnani shauri nini jamani?
 
Wewe ni 'KE' au 'ME'?
Kwa jibu la pamoja mwenzio hana inshu na wewe.
Unamgegeda/gegedwa lakini yeye ana wake wa kufunga nae ndoa na wakati huo ukifika atakwambia kwa kutumia ile style ya(akufukuzae hakwambii toka)
 
Miaka 7 yote hiyo mnacheza mnadalikana tuuuu......ama kwel kidal poo noma.Mmezaa?kwenu wanamfahamu?
 
Kwa kuzingatia avatar yako inaonesha unapenda sana mambo ya ndoa bila utaratibu kwani kwa taratibu za kiafrika mambo hayo hufanyika kwa utaratibu sehemu maalum. Kosa lako ni kuamua kuyafanya mambo hayo bila utaratibu na tena bila kuzingatia dini ambapo yangekufanya uishi kwa amani tangu mwanzo. Ninachokiona ni kwamba umepitiliza target (lengo) yako hivyo ili uwee kuilenga tena inakulazimu ugeuke nyuma.
 
What? Miaka 7 ya unyuma na mpango wa ndoa haupo? Must be kidding!
 
wala usihangaike ndugu yangu , miaka saba kisheria huyo ni mkeo, kwa kuwa uliingia kiharamu endelea kuharamika, kama mbwai mbwai, chakula pilau, kachumbari mbwembwe tu (hapo kumtamkia kuoana ni mbwembwe tu hiyo ni ndoa tayari) ukitaka kuamini maneno yangu ngoja ashikwe sikio adai talaka muachane, hizo mali zote za miaka 7 mtagawana rafiki
 
Wewe ni 'KE' au 'ME'?
Kwa jibu la pamoja mwenzio hana inshu na wewe.
Unamgegeda/gegedwa lakini yeye ana wake wa kufunga nae ndoa na wakati huo ukifika atakwambia kwa kutumia ile style ya(akufukuzae hakwambii toka)
atakua shemale, kajichanganya sana
 
Hizi threads za namna hii huwa zinanichosha...khaaa!!
Hebu kwanza tujue jinsia yako kabla hatujatiririka...
 
Haya ni matatizo jaman
Kuishi na mtu kiholela nayo ni hatar
Mungu utuongoze
 
si uliamua kuhamia mwenyewe? uolewe nini sasa
 
Kama wewe ni jinsia KE jichunguze huenda unataka sherehe hivyo mwenzio haoni umuhimu kutokana na scarce resources zake. Nakushauri, kama wakristo nendeni kubariki tu, kama waislamu iteni shehe achome ubani, bhaaaasi!
 
Umeona eeeeeeeeeeeeh!
Anaona hakuna jipya jaman
Doooooooooooooh!
kwa kweli mimi ni mzee sana ila sijawai kuwaza kuhamia kwa mwanaume bila utaratibu wa kueleweka ..hivi ukifa ghafla
besides kama kitu kipo kipo tu kwa nini kujilazimisha?
 
wapendwa na ishi ktk mahusiano ya kinyumba na mwenzangu zaidi ya miaka saba,lakini kila nitakapo mwambia tuoane hataki na mpaka sasa anaendelea kusimama katika msimamo wake huo huo,(malengo yangu nikutimiza sheria za dini ili tuishi kwa amani zaidi).mnani shauri nini jamani?

miaka 7 umekaa nae sheria gani za dini ulitimiza au unahisi mkiona ndo mtatimiza hizo sheria....... au unachukulia hiyo as a justification ya wawili nyie kuoana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom