Ndoa

Ndoa

GOOOD

Member
Joined
Apr 5, 2013
Posts
13
Reaction score
2
Hiviiii! JF Ndoa imekuwaje Ndoo ya kuchota UPENDO na kuupeleka nje. Hivi ndoa imekuwaje NDOANO ya kuteka maovu nje na kuleta ndani :mmph:
 
Yeah GOOOD unfortunately thats how things are right now yaani watu wanaoana kila mmoja akiwa na malengo yake na si kuidumisha ndoa yao na hapo ndipo mvurugano unapotokea mf unakuta lengo la mume ni kueleweka vizuri mbele ya jamii anayoishi au kwa sababu tu amekuwa akipigiwa kelele na nduguze kuwa umri umeenda na anapaswa kuwa na familia na hivyo hulazimika kuoa tu ili apate watoto na asieleweke vibaya au mwanamke anaolewa ili aepukana na ugumu wa maisha,sasa unafikiri ndoa ya namna hiyo itadumu?,ila laiti kama wote wangekuwa wana lengo moja la kuidumisha ndoa basi nina imani hayo yote yangekuwa masimulizi tu.
 
Last edited by a moderator:
Yamekukuta?

Mimi nakumbuka niliamua kuoa jimama la kizungu ili nipate makaratasi, kuja kushtuka kumbe na lenyewe linataka makaratasi ya Bongo

NB:
Makaratasi = makabrasha muhimu ya kumfanya mtu aishi nchi fulani kihalali
 
Hayo yote hutokea ikiwa wahusika/mhusika wameingia/kuingia kwenye ndoa bila kufahamu maana ya ndoa na wajibu wa kila mmoja ndani ndoa. wengi wanaanza kujenga mnara bila kufanya tathmini ya gharama yake hali inayowafanya kutelekeza mnara kwa kushindwa kumudu gharama ambazo hakuzijua kabla.
 
yamekukuta?

Mimi nakumbuka niliamua kuoa jimama la kizungu ili nipate makaratasi, kuja kushtuka kumbe na lenyewe linataka makaratasi ya bongo

nb:
Makaratasi = makabrasha muhimu ya kumfanya mtu aishi nchi fulani kihalali

hahahaha! Sasa ikawaje mkuu
 
Hiviiii! JF Ndoa imekuwaje Ndoo ya kuchota UPENDO na kuupeleka nje. Hivi ndoa imekuwaje NDOANO ya kuteka maovu nje na kuleta ndani :mmph:

kama mmoja wapo au wote wawili mmeingia kwenye ndoa mkiwa na lengo tofauti na kudumisha upendo, kulinda upendo na kuwa na familia bora yenye amani na upendo lazima hayo yote yatokee lazima ndoa igeuke kuwa NDOO na NDOANO!
 
Nipo tu hapa mjini nabangaiza na jimama langu la Kitasha...ujiko niupatao ni kwa wanangu tu kuitwa Wazungu
Hizi ndoa hizi we acha kabisa..

Precisely stated!!!!!....nimeipenda sana!!!!!
 
Hiviiii! JF Ndoa imekuwaje Ndoo ya kuchota UPENDO na kuupeleka nje. Hivi ndoa imekuwaje NDOANO ya kuteka maovu nje na kuleta ndani :mmph:

mm bado sijakuelewa vyema ....... naona mbilimbili tu km mlevi hv!!!!
 
Hiviiii! JF Ndoa imekuwaje Ndoo ya kuchota UPENDO na kuupeleka nje. Hivi ndoa imekuwaje NDOANO ya kuteka maovu nje na kuleta ndani :mmph:
Kwani mwenzetu vipi?
 
Hahaha mtani we acha tu...
Halafu kuna ndoa nyingine watu wa nje wanaishia tu kukupa sifa, "Mumeo handsome..." au "Mkeo mzuri..." kumbe hawajui hilo fukuto mlilo nalo ndani

ha haaa, angalau kuna kaujiko umaejipatia....
kuna wengine wanatoka kapa, lol!
 
watu8, niunganishie kwa shemeji yako mmojawapo basi. Ama na mashemeji washapata makaratasi ya bongo kwa mgongo wako?
 
Last edited by a moderator:
Heheheh....hivi unajua hata ni mtasha wa nchi gani labda tuanzie hapo
Nakuonea huruma usipatikane na yaliyonipata, ukaenda ughaibuni kuwa mbeba box

watu8, niunganishie kwa shemeji yako mmojawapo basi. Ama na mashemeji washapata makaratasi ya bongo kwa mgongo wako?
 
Yamekukuta?

Mimi nakumbuka niliamua kuoa jimama la kizungu ili nipate makaratasi, kuja kushtuka kumbe na lenyewe linataka makaratasi ya Bongo

NB:
Makaratasi = makabrasha muhimu ya kumfanya mtu aishi nchi fulani kihalali

pole sana kijana..
 
Back
Top Bottom