ndoa

ndoa

chit

Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
15
Reaction score
0
Dada mwenye nia ya ndoa apige simu hii 0715660068 awe amcha mungu mchapa kazi
thaks
 
Mwaka ndo unaanza hivi.. Haya sasa wadada zali hilo la 2013
 
Tumsifu Yesu Kristu mpendwa katika bwana Chit!!!!!!!! wajameni sasa si useme wasifu wako kidogo ili tujishauri! Amani ya bwana iwe nawe siku ya leo!
 
Tumsifu Yesu Kristu mpendwa katika bwana Chit!!!!!!!! wajameni sasa si useme wasifu wako kidogo ili tujishauri! Amani ya bwana iwe nawe siku ya leo!

Hahaaa, kwa ulivyoandika hii quote, Ameshatiki sifa ya kwanza.
 
NYUU YIA HIO.............. HONGERA KWAKO GRETI SINKA aka mleta madamaana hayo ndo malengo yako ya 2013!!!!????!!
 
Back
Top Bottom