Haya ya majibizano ya kwenye hii thread nina uhakika kama ingekuwa kwenye mkutano ngumi zingefumuka na mkutano ungevunjika.by the way usijisifie mbele za watu kuwa wewe ni mtoto wa ndoa kwani siri hiyo anayo mama yako pekee labda uwe umepima DNA na huyo unaemuamini kuwa ni baba yako halali.