Ndoa

Ndoa

Real joh

Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
19
Reaction score
0
Inasemekana waliozaliwa nje ya ndoa ni sawa na nguruwe a.k.a haramu.........ha ha ha
 
wewe mbona wa nje? 2namkumbuka aliempa mm yako mimba bb unaeishi nae kakulea tu! Usibishe mhulize mm yako.
 
Me mwenyewe baba yako mtoto wa nnje....alafu mama yako aliaidi ukiwa mkubwa atakupa ukweli kumbe bado anakuficha nakuja hapo kwa hilo mgumba linao lea watoto wa watu kukuchukua shenzi kabisa...kwanza hawajui kulea bora ningekulea mwenyewe
 
Kabla hujaandika thread hii ungemuuliza mama yako kama huyo baba ni wa kwako au. Maana unaoekana hata wewe ni li haramu. Tupa kule
 
kwa sisi muslims wote waliozaliwa nje ya ndoa si halali so km inakuhusu pole ha ha ha....

mbna hata mufti wako ni mtt wa nje ya ndoa. Je, mmekubali vp nakuongozwa na mtu asiyehalali.
 
Haya ya majibizano ya kwenye hii thread nina uhakika kama ingekuwa kwenye mkutano ngumi zingefumuka na mkutano ungevunjika.by the way usijisifie mbele za watu kuwa wewe ni mtoto wa ndoa kwani siri hiyo anayo mama yako pekee labda uwe umepima DNA na huyo unaemuamini kuwa ni baba yako halali.
 
Back
Top Bottom