Ndoa zina matukio jamani

Hili swala la kuhudumia tu MTU back kisa anakutunuku mbunye Ni utapeli Kwa kweli
...hili swala litazamwe upya ...

Ndoa Ni biashara Kwa wanawake,wananufaika mnoo mbaya Zaidi mwanaume akiishiwa au kupata kilema cha maisha mwanamke anamove kutafuta mwanaume mwingine atakaye mhudumia, ubinafsi WA Hali ya juu
....shittt
 
ni kweli
 
Huu mtaa niliopo kuna wanawake watatu wamekimbia ndoa zao kwa kufumaniwa na mmoja kamwacha mume wake mchungaji kaende kujiweka kwa dalali wa mashamba..

Kumpenda mtu kupitiliza ni tatizo na limewaletea wanaume wengi majanga. Kuna waliorukwa na akili, wengine jela na mbaya zaidi ule upenda umewapeleka kaburini.


Ukiamua kuoa hakikisha unaishi kitemi , upendo ubaki kwa kile ulichovuna (watoto).
 
Kuishi tu alone kuna changamoto nyingi, yaani alone pale ghetto kwako kuna changamoto kibao, kuna wakati hata hutamani kurudi ghetto, japo upo mwenyewe...
...iwe ndoa au single, bado maisha yana changamoto nyingi sana.

Basi tupo tofauti. Binafsi sijawahi kujutia kuishi peke yangu. Yaani ile kufika geto na kuwa mwenyewe huku nahesabu pesa zangu na kuzitunza KUNANIPA RAHA YA AJABU NA UTULIVU WA NAFSI USIO NA KIFANI
 
Naunga mkono hoja,bila utemi utaona kila rangi ya mwanamke
 
hakuna cha ajabu hapo,kwani huu ni muunganiko wa watu wazima 2 wenye historia tofauti na makuzi tofauti
 
Binafsi ninaishi kwenye ndoa yenye raha sana,mke wangu hana maudhi asante sana Mungu.Nimeanza kuishi naye tangu sina hata mia na hakuwahi kunionyesha dharau.Usioe ukiwa na hela tafuta mke ukiwa hauna kitu utanikumbuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…