Ndoa zetu...

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,224
Reaction score
1,258
Katika ndoa zetu siku hizi ni kweli wanaume ndio wanaoongoza kwa kutoka nje ya ndoa zao? na ni kweli kwamba wanaume ndio wanaoumia zaidi pale wanaposikia mke wake anacheat katika ndoa?

Naombeni maoni yenu wadau
 
100% wanaume wanaongoza na kuhusu kuumia ni kweli wao huumia sana wanapojua wamekuwa cheated na wake zao na huwa na wivu sana,hii ni kwa sababu ya mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu,wanapotenda wao huona wako sawa tu eti kisa mwanaume,ngojaafanye mwanamke!!!!!!ataipata!!!!!
 
Yap ni kweli wanaume asilimia kubwa huwa tuna cheat sana hii ni kutokana na maudhi ya ndani ya ndoa...ila tukigundua mwanamke ka-cheat huwa inaumiza zaidi na tuko tayari kutua mzigo chini...
 
ni ukweli usiopingika kuwa wanaume ndo wanaongoza kutoka nje ya ndoa na ndio hasaa wanaoumia sana pale wanahisi kusalitiwa.
 
Wanaume jitokezeni kulitetea hili kwa majibu yenye mantiki,mmmmmh kumbe kweli.................................
 

Bold sio kweli hakuna maisha yenye 100% isipokuwa kifo peke yake.
 
Tumshukuru mungu haandiki idadi ya kucheat yawezekana wanawake mngezidi ila kwa kuwa nyie mabingwa wa kulalamika sie twaonekana zaidi.
 
Haaaaaahaaaahaaaaa Tamatheo upo baba nilikuwa nimekumisije mama naniliyu hajambo?salamu zangu ulizifikisha lakini?yeah hakuna yenye 100% ila ndio hivyo mamen mjijue mnaongoza kwa usaliti.
Bold sio kweli hakuna maisha yenye 100% isipokuwa kifo peke yake.
 
Tumshukuru mungu haandiki
idadi ya kucheat yawezekana wanawake mngezidi ila kwa kuwa nyie mabingwa
wa kulalamika sie twaonekana zaidi.

hebu tufanye experiment ndogo tu, mme atoke akacheat na mke pia atoke akacheat cku hyo hyo, halafu baada ya tendo kwa kila wasisafishe sehemu za siri then warud nyumban kila m2 aonyeshe mwenzake sehemu za siri! je nani ataumia? hapo ndo huwaga mm naumia kwamba yawezekana unaingia chumvini kumbe unasafisha manii ya mme mwenzako kwa ulimi wako....hasiraaaaaa
 
Haaaaaahaaaahaaaaa Tamatheo upo baba nilikuwa nimekumisije mama naniliyu hajambo?salamu zangu ulizifikisha lakini?yeah hakuna yenye 100% ila ndio hivyo mamen mjijue mnaongoza kwa usaliti.

Salamu zilifika nyingi kupindukia....ni kweli kutokana na sisi kufa kisabuni, kama wanaume wangetoa siri zote za ndoa zao tungepata majibu ya jumla. Fikiri hivi "Mwanamme akitoa taarifa za umalaya wa mkewe anajiabisha yeye mwenyewe ila kama mwanamke akitoa za uhuni wa mmewe anamwaibisha mmewe" kumbe ndio maana tunaamua kufa na masiri yetu.
 

Unajua unatufanya wengine tuhame huku chumvini looooooooooooooooh! sasa mambo ya mananiiiiiiiiiiiii ya kidume mwenzangu tena.....................
 
Aaaaaa wapi hamna lolote nyie wababa,tena hayo uliyoyaongea sio kweli kabisa yaani mwanaume ajue mkewe anatoka nje afu anyamaze tu eti kisa atajiaibisha labda kama sio mwanaume!!!!!!!! unatolewa uhai wallahi kama sio kiungo kimojawapo cha mwili au kuharibiwa reception wanayodaigi eti ndio inawapa wake zao viburi,mnakuwaga wakali pilipili kichaa nyuma kwanza ukimuona wife kasimama na mkaka tu siku hiyo utauliza maswali hata yasiyoulizika,kila ukitoka kazini cm ya mkeo inachukuliwa kuzipigia namba ngeni,weeee mwanaume kabisa anyamaze sijawahi kuona,ila wenyewe wasimame hata na wasichana kumi kwa siku muulize uone anavyokuja juu,narudia tena mnaonaga mnayoyafanya nyie ni mazuri tu ila yasifanywe na wenzenu mnaumia kupita maelezo mkuki kwa nguruwe............chezeya wababa sio watu!!!!!
 

Hayo ni mapenzi ya wivu....Hivi unajua ndoa karibu 30% wanaume wanapewa vichapo na wake zao, tena hawa wa mujini mujini ndio wanagugumia ili majirani wasisikie. Ila siwezi kukataa kwamba wanaume ni wahuni ila pia lazima tukubali wanawake ni malaya ktk ndoa. Ila tofauti ni ktk kiwango kipi. Ndoa nyingi zina siri sana hasa kama mwanamme kazidiwa kipato huko ndio hata akimfumania anamwambia mama nanihiii natangulia unikute home. Note ubabe wa wanaume wa zamani ni kwa sababu walimiliki njia zote za kipato/uchumi wa familia na wanawake kubaki kama asset ie kochi au mfugo ila sasa hivi pato la familia linategemea me na ke na ndipo kibao kikageuka kwani wanawake mna njia nyingi za kupata channel za mapene.
 
Excuse me mr Tamatheo coz hainijii wala hainiingii akiliini hata kidogo,labada nisibishe sana maanake ukute hayo maeneo unayokaa weye wanaume wako hivyo ila mi huku pande zetu wanaume hawako hivyo kabisa na wanawake ndio wanaoteseka ndani ya ndoa kwa sababu ya tabia za usaliti za waume zao, ndio maana somo limegoma kabisa kuingia akilini!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Nakupa kazi ya kufanya utafiti kwenye familia zote ambazo baba na mama wana kipato cha kuwatosha tena wenye mageti marefu hata mita 10 utagundua kuta zinaficha mambo. Ndoa nyingi zilishavunjika ila wanaishi pamoja ili watoto wasione tofauti na pia ndg na wazazi wasipate fedheha. Ndg yangu kuna mabadiliko makubwa sana yaliyoletwa na science na techolojia hasa kutokana na ugumu wa maisha wanandoa wanakuwa bize sana kutafuta kipato hadi kusahau wajibu wao wa ndoa, mwisho wanaishia kujishika kwa masecretary, HG, HB, Madereva wao, madreva tax etc ambao kila akiwa na nafasi nao wanakuwa free. Kwenye ndoa nafasi zinapishana hivyo uvumilivu ndio silaha za ndoa zetu.
 
Hapo umenena na ninaomba nianze kufanya uchunguzi kuanzia leo ili nipate kuridhika na point zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…