Love yourself,then others will love you, ongeza bidii kwenye kujipenda wewe kwanza, hao viumbe wasikutoe kwenye reli, ukimtilia maanani you will lose yourself within
Ndoa sisi ni ya kutuheshimisha tuu ila tusionekane wahuni ila wanawake hawaturizishi wao wanataka pesa na kelele tu, hapo ni nini utainjoy sasa wewe ni mbio tuu kuitafutia familia ata ausifiwi.
Upendo unapungua kwakweli akipatikana wa kukujali unajiegesha lakini moyo wako upo kuleee unapovurugwa yani hii taasisi ni mtihani kwa pande zote mbili
Love yourself,then others will love you, ongeza bidii kwenye kujipenda wewe kwanza, hao viumbe wasikutoe kwenye reli, ukimtilia maanani you will lose yourself within
Acha tu nimechoka tokea 2019 nimeolewa hadi sasa na 6 years kwenye ndoa huyu mtu kabla ya ndoa yetu walikuwa pamoja hadi leo nilidhani wataachana kisa anamke sasa dah hakunaga kunamtu kanipa picha zao halafu we acha tu ni live nataka ni achane naye niwe single kwa muda nipate raha ya moyo wangu
Love yourself,then others will love you, ongeza bidii kwenye kujipenda wewe kwanza, hao viumbe wasikutoe kwenye reli, ukimtilia maanani you will lose yourself within