Ndoa zaidi ya ndoano!


naogopa kumyenyekea na ku-yield kwa kila analotaka ndio ataninyea kbs maana inaelekea ndiyo hamu yake
 
Sitisha hiyo business by any means, Punguza risala kuwa mtu wa vitendo tu!
Babu yangu aliwahi kuniambia! Make sure mke wako hapati hela kukuzidi, and they always like beeing used than appreciated
 
uchumi wa wazazi wake sio sababu ya kubehave that way japokuwa inaweza kuchangia kidogo.
ila kwangu ni kwamba umeshawahi kukaa naye mezani ukamwambia what you like and you dislike? watu wanajifunza kila siku kitu kipya. wewe ni mwalimu use your education kusolve vijimambo vinavyokusumbua . kuachana sio solution.
 
Ongeza dozi kitandani...
na vibao vya kelbu kama unavijua vitumie siku moja moja

heheheheeheeeeeee umenikumbusha mbaaaliii, kweli hata mie nakiri hii ni aina flani ya dawa kwa wamama, kunakitu huwa kinamiss na ukifanya hv tuu utaona kimyaaaa. Hasa mdomo utafunga. Heheheheheheheee pole sana mtoa mada.
 
pole sana!hii inakera kwa kweli!kua mpole tu na usjibishane nae,kama inawezekana mambo mengi fanya kimya kimya peke yako !!ila nimefarijika sijaona ukimlalamikia kuwa anatoa k nje ya ndoa.
 
wee acha tu. ila mm kwa jinsi nilivyo nikikaa mahali mt anashuka nyanga za tension steel, ama sijui highway construction huwa najikalia kimyaaaaaaaaaa tena kama nina simu natafuta wa kuchat nae hadi wajione kama wanaboa ndio wajirudi wenyewe. sitii neno wala kuulza swal mie kimya. uzuri wa kimya mtu hakusomi umeelewa, unafuatilia ama unaboreka hivyo kuhamaki lazima watarudi tu kwako ili kupata attension yako.
 

hayo ndiyo yanayonikuta. Ualimu wangu wa miaka 16 nakosolewa na std 7 ati nawafundisha vby watoto!
 
pole sana!hii inakera kwa kweli!kua mpole tu na usjibishane nae,kama inawezekana mambo mengi fanya kimya kimya peke yako !!ila nimefarijika sijaona ukimlalamikia kuwa anatoa k nje ya ndoa.

mbele ya Mungu siwezi kumsingizia-sijawahi kuona nyendo zozote zinazoashiria cheat na ni mwaminifu kuhusu pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…