'Ndoa' za Wanachuo hosteli 'bubu'

Acha wazibuane tu, viboom vipo, mtaani hali ngumu kuoata aftatu ya kuhonga upige MBUPU si mchezo, inabidi uwe NTU wa dili NJOMBA
 
Wee jkt kwa mujibu wameenda mda gan? Akati hata mtihani wa 4m 6 hawajafanya.

Hawa si wanao enda kwa maombi yao binafsi. Ndo wakiokutwa na ngomaaa. Lol

Ni haohao wanaoenda kwa mujibu ila sio kwa mwaka mmoja hao 147 ni tangu mwaka 2019 mpaka mwaka huu idadi yao kwa ujumla ndio hiyo
 
We umejuaje kama hawasomi?
 
Ila chuo kungekuwa na vikao vya wazazi au wazazi wangekuwa wanafanya safari za kushtukiza wangejionea mengi

Anyway ile ni shule ya watu wazima. Yaani Adults
 
Niliwahi kuishi Karibu na chuo Cha Uhasibu Arusha.... Mzazi usimuamini mtoto wako Wanachuo wengi wanaishi mume na mke pika pakua.... Sawa ndio wakati wa kutest viungo vya uzazi na hatuwezi kuzuia.... Ukwl mchungu ,mchungu wanabadilisha wanawake kupitia maelezo duhhhhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…