Carmel taratibu bi shost watakutoa macho hawa , si wote wenye utovu wa nidhamu katika ndoa zao.
Hahahahaha luv angalia usije ukapasua keyboard mwisho wa siku wewe utabakia kuwa mwanamke na mmeo atabakia kuwa mwanaume tu lazima umlee kama mtoto mdogo ambae ananyonya.
Duu, thread inakimbia hii, naona hata semenya hawezi kuikamata
mhh mnaniudhi sasa, ya kwake anaipeleka wapi?...mnawaambiaga mpka salary zenu khaaa, mie pesa yangu ni yangu yake yetu.
afadhali nimepata break na kuchekaa. du thanks shost si unajua hadi presure inapanda mida flani lol.bora umetuwekea kiburudisho katikati...hii thread ingekuwa tunaiwakilisha live ningemtoa mtu jicho walaaah....
Yani Mwanajamii unaongea point sana leo du! Hii ndo dilema iliyoko kwenye ndoa nyingi sasa hivi, wanaume hawako responsible kabisaa, yani mke huioni pesa ya mumeo kisa anaamini unafanya kazi na una kipato, hawatoi pesa za matumizi ya wake zao, wanataka wake zao wachangie kwenye kila kitu kuanzia kula, kodi ya nyumba, ujenzi na hata kununua usafiri and yet bado wanalalama hapa eti wanawake wawafulie n bla bla,. The moment mlivyoacha kuwa responsible kama vichwa vya familia mlipoteza haki ya kufanyiwa mengine yote. kama dozi pia unaweza kuta wengine hata hawapati ya kuridhisha, at leat i am lucky in that one, phweeee!
naomba nipingane na post ya mj1 kwamba wanawake wanachangia budget!NEVER ON EARTH(for the african women,NEVER)
haaa nasema kweli kumwaibisha shetani, mie ni wa kwanza...hata senti ctoi, c ndo mnajidai vichwa vya nyumba? Sasa mnatakaje tena.
haaa nasema kweli kumwaibisha shetani, mie ni wa kwanza...hata senti ctoi, c ndo mnajidai vichwa vya nyumba? sasa mnatakaje tena.
wapi Chriss, Masanilo, Geof, Fidel &Co? Mshasepa au mnapanga mashambulizi
mi sitasema uongo, nacontribute home, sasa tena kwa nini iwe sheria mi kuwa maid wake? na kwa nini udhani mi katili just because hubby anasaidia kazi ndani? hudhani kuwa katili ni yule mwanaume ambaye hagusi kitu wala kutoa msaada kwa mkewe? badili mtazamo fidel.Ukipata mwanamke kama carmel mmmh! mm siku hiyo hiyo nakuacha inaonekana wewe katili sana yaani unamwachia mme ajifulie kufuli! eti kazi kusaidiana mmh wewe mama hebu tema mate juu.
nImesema nafua kwa upendo, nikijisiakia kufua lakini si general rule na hakuna anayeniuliza kwa nini nguo zangu chafu coz jibu analijua. so nafua nikiwa na muda. otherwise na mimi niko busy kusaka mahela si natakiwa nicontribute home? sasa nikitumia muda kufua na kupika na kunyoosha, ntapata wapi muda wa kusaka hela?mkuu Carmel,
chupi ya mumeo unafua au hufui?
nImesema nafua kwa upendo, nikijisiakia kufua lakini si general rule na hakuna anayeniuliza kwa nini nguo zangu chafu coz jibu analijua. so nafua nikiwa na muda. otherwise na mimi niko busy kusaka mahela si natakiwa nicontribute home? sasa nikitumia muda kufua na kupika na kunyoosha, ntapata wapi muda wa kusaka hela?
wapi Chriss, Masanilo, Geof, Fidel &Co? Mshasepa au mnapanga mashambulizi
Its good umeshakubaliana na hali, after all ndoa ni kuvumiliana. just play your part kama ana akili na akiona wewe unafanya part yako vizuri basi atajirudi. just give her time, na kama kuongea naye usiongee naye kama unamforce kufanya unachotaka wewe. Jitahidi siku mko kwenye gud times, mdiscuss taratibu kwa upendo na atakuelewa.
Sasa kama hutoi mbona kufuli humsaidii kufua sasa muelimishe huyo carmel naona anapotosha fikra za mwanamke wa kiafrica ambapo uasilia wake haupo hivyo