I hate this mentality kwamba mume afanyiwe, mume afanyiwe, halafu mbaya zaidi ni sis wanawake ndo tunapreach huu ujinga, sisemi kwamba maid hatakiwi kusaidiwa kazi no, nachosema hata baba asaidie kazi inapobidi. na kwa taarifa yako pretty, hawa viumbe waitwao wanaume wakitaka kulala na maids, barmaids, vichaa hata mama yako au sister wako, wanafanya tu, tena bila kujali kwamba huwa una amka saa kumi kumchemshia maji , kumtayarishia breakfast na kumnyosheea nguo. so i would advise you to find another way of thinking na siyo eti nikimfanyia kila kitu ndo hatatembea na housemaid.
Huwezi amini nilimpigia simu mme wangu nikampa huu ushuhuda nasi tukaambizana siku watoto wetu wakiwa wakubwa na wakawa na mijengo yao,nasi tubaki wawili home it will be the same.Oooh GOD tupe uzima,I really Love my Husbandsi unaona sas yani inapendeza kweli, wawili hawa watakuwa mwili mmoja ,yani watasaidiana katika shida na raha, na wataambatana kila waendako kama samaki na maji. gud example
Kaka I feel your feelings!! But with due respect kaka sometimes inabidi nanyi mara moja moja muwe mnayatia mapenzi chachu hata kwa kufanya kakitu kadogo kuonyesha kuwa unamsaidia wife. Sio unakuta mwingine kaka yeye anachojua ni kufanyiwa tu mfano
1. Anaamka asubuhi anakuamsha ukamwekee maji kwenye ndoo (na yanatoka bombani na ni master bedroom)
2. Umwekee dawa ya meno kwenye mswaki (usipoweka ataoga kisha atatoka kuja kuulizia mswaki wake)
3. Anatoka bafuni (hapo unakuta pant yake kaivua kaitupia kwenye sink anasubiri uje uife!)
4. Akitoka ushampigia pasi anavaa, anakunywa chai ulomwekea kisha huyooo funguo za gari zi wapi na akifika ndani ya gari ni honi mtindo mmoja unamchelewesha na usipokimbia na viatu mkononi anakuacha unakwenda ofcn kwa daladala au ukifanikiwa kuingia kwenye gari basi kusemwa mtindo mmoja unamchelewesha teke.
MCHANA KUTWA HATA KUKUPIGIA SIMU YA SALAMU AU SMS YA I MISS YOU!
5. Akirudi jioni akute chai yake mezani na maji bafuni
6. Atizame TV huku akisubiri chakula au asome magazeti yake
7. Akishakula huyooo kitandani analala huku akisubiri wewe uje ushushe neti na kumfunika na shuka!
8. Uingie kitandani baada ya kumaliza kazi zako akudake tayari kwa chakula cha usiku.
The life continues!
Kwa style hii kweli unategemea mkeo atakuwa anamapenzi na wewe? Si atajihisi hana tofauti na huyo housegirl jamani!
Jamani mara moja moja ukinisaidia kushusha net au hata kunipigia na mimi pasi I tell you nitaikumbuka kwa muda mrefu na moyo wangu kukongwa vilivyo!!
hehe hehe hee, kama una hasira ita polisi, i have said what i have said and i dont regret it. FYI i dont need to kill a person leave alone my lovely hubb for maoney or mali coz i know how to saka them hela,.Huyu mdada anaonekana kichwa ngumu na huyu hakawii kuua mume wakishapata mali huyu! Lol! Naona ndo lile group la wanawake wanaopenda kuwa single parent. Azae na mwamume fulani kisha aishi kivyake na mtoto wake. Mhhhh!
si unaona sas yani inapendeza kweli, wawili hawa watakuwa mwili mmoja ,yani watasaidiana katika shida na raha, na wataambatana kila waendako kama samaki na maji. gud example
youi are contradicting your beliefs arent you? mara carmel akisema lazima tusaidiane unamuona muuaji, halafu hapa unarudia yaleyale ambayo carmel anaya-adress, but thanks you have seen my point thou you don want to admit.Excellent MJ1. You seem to be a good mama. Inasikitisha tu kusikia kuwa huyo jamaa amekutosa. Tulia mwombe MUNGU atakupa mume mzuri zaidi. Uliyoyasema hapa ni kweli kabisa, sisi wanaume tunatakiwa kuwaonyesha wake zetu upendo wa kweli kwa kuwasaidia kazi mbalimbali nyumbani. Hata tendo la ndoa huandaliwa tangu asubuhi mnapoamka. Baba amka mapema andaa breakfast then kaeni na mamaa mle mnywe huku mmekanyagana miguu. Ukiwa kazini mpigie simu ya kuonyesha kumjali etc. Nakwambia muendapo kulala usiku mambo ni barabara hakuna mfano maana mama yuko tayari kwa vile kaandaliwa tangu asubuhi.
Men let us change.
haha hahaaaaaaa, huwezi amini anavyo enjoy maisha. hakya nani tena hata ukimpa second chance kuchoose aoe nani atanichagua mimi, i can assure you. there is order in the house na watoto wanona mfano jinsi wazazi wanayopendana na kushirikiana, usiogope mbu...duuuuh, haki ya nani shemeji yetu alieoa nyumba hii chamoto anakiona! 😱
Mkuu Mosquito umenena wewe na ndevu zako ushike tambala uanze kuzungusha kiuno una deki eti kazi kusaidiana sijui inakuja hiyo?
youi are contradicting your beliefs arent you? mara carmel akisema lazima tusaidiane unamuona muuaji, halafu hapa unarudia yaleyale ambayo carmel anaya-adress, but thanks you have seen my point thou you don want to admit.
Excellent MJ1. You seem to be a good mama. Inasikitisha tu kusikia kuwa huyo jamaa amekutosa. Tulia mwombe MUNGU atakupa mume mzuri zaidi. Uliyoyasema hapa ni kweli kabisa, sisi wanaume tunatakiwa kuwaonyesha wake zetu upendo wa kweli kwa kuwasaidia kazi mbalimbali nyumbani. Hata tendo la ndoa huandaliwa tangu asubuhi mnapoamka. Baba amka mapema andaa breakfast then kaeni na mamaa mle mnywe huku mmekanyagana miguu. Ukiwa kazini mpigie simu ya kuonyesha kumjali etc. Nakwambia muendapo kulala usiku mambo ni barabara hakuna mfano maana mama yuko tayari kwa vile kaandaliwa tangu asubuhi.
Men let us change.
mbu...sio kupigishwa deki, unamsaidia mkeo
hakuna ubaya hpo hata kdogo, na ndio kuzidisha mapenzi yenyewe huko.
basi kaa kazi hizo unaziona za kizembe, muoshee gari yake, mpelekee suit zake muhimu kwa cleaners, na usisahau kumkanda kanda mara moja moja
...kaka ndoa yako changa wewe,... baada ya fungate wakiguswa utadhani wamegusishwa na barafu... wanafoka kwa nguvu zote "unanigusia nini wewee?!"
Ukimpigia simu kazini anaona unamchunga!
Mbu imagine mko wawili tu home na mkeo ina maana hamtasaidizana?...kwani haitoshi kumpeleka holiday, kumtoa outings, kujifanya unamsikiliza kumbe upo busy na Jamii forums nk? kumjali sio lazima kupiga deki jamani, aaah!
Kumkanda tena? kwani mjamzito yeye? anywe panadol zitampunguzia maumivu!
mbu mwanamke hakatai kuguswa hata sku moja hasa ikiwa unajua kugusa.
tatizo hapo mwanamke unamtarajia akufanyie kila kitu, keshachoka pale anataka kupumzika wwe ndo unaleta habari ya kugusa!
msaidie kazi za ndani uone kaa hatoanza kukugusa yeye
Sasa seriously! acheni nitoe usghauri hapa maana huko kote tulikuwa tunaruka ruka tu maana Kilambi hakuwa amepersonalize hii ishu, ilikuwa too general. nw that we have a really problem at hand. i would say this.thanks kwa mliochangia na mnaoendelea, nashukuru pia nimegundua kuna wadau wa tegeta by night,zero,nyamachabes, fyatanga, kimara kwa mushi, usangule n.k....nitatoa ofa ya tubia tuwili siku moja ila kwa kuwa humu jf tuna hide id, basi usishangae utakapopata bia toka kwa anonymous
back 2 ze mada!
naomba nieleweke kwamba nia yangu si ku-display mfumo dume ule wa kizamani kama ilivyotafisiriwa na baadhi ya wachangiaji, binafsi huwa naupinga sana na mimi ni mfano mzuri wa wababa ambao huwa wanafanya yale ambayo nikijieleza hapa itabidi nitafutiwe mtaalamu wa ku-defuse malimbwata!huwa nayafanya mengi kwa nafasi yangu, lakini wajameni hivi kweli ni sahihi mama karudi nyumbani saa kumi jioni, fine anatakiwa kupimzika, dada kakaa na watoto na kuhangaikia nyumba tangu asubuhi hawampi hata nafasi ya kupumzika, wa shule wanarudi saa kumi na moja, mama unaamka kumdai dada chai, waliorudi shule nguo zao na maandalizi ya kesho, mama unademand chai ukiwa unakodolea macho luninga yako! Baba anarudi, dada huyu huyu anaacha alichokuwa anakifanya kukimbilia kufungua geti!anakupokea na kukukaribisha, mama bize kwenye luninga, dada bila kuambiwa anamletea baba chai, baada ya chai baba unaingia kwenye kazi za nyumbani na kumuacha mama akiendelea kutazama isidingo, saa mbili unarudi kuangalia taarifa ya habari, mama ...daadaaa vipi hicho chakula bado? unamdai mtoto notebook unakuta kuna msg ya jana toka shuleni, wee jana ulichelewa kazini umewakuta wamelala! ukiuliza mama jibu sijaiona, dada akisikia .....baba samahani niliona jana lakini nilisahau kukuambia, jana mama alikuwepo tangu saa tisa mchana! dozi ya dawa za watoto lazima uhakikishe umemuelekeza dada, hata kama kwa bahati mbaya hukuweza kumpeleka mtoto hosp, alipelekwa na mama kwa shingo upande! ukimwachia mama kama si kumpa kwa muda tofauti basi kampunguzia au kumuoverdose mtoto!!!mama huyu huyu hajui iliko shule wanakosoma wanae, hana hata contact moja ya mwalimu wa mwanae!! jamaaaaaaani baba huyu atashika mangapi!?bado 95% ya matumizi ya nyumbani lazima yatoke kwa baba!
kwa upande wa huyu dada, hivi huwa hawachoki? hawana haki ya kupumzika na kuthaminiwa? ukipropose kumuongezea hivyo vijisenti vyake utasikia ...aaah zinamtosha, kwanza nyingi sana (20,000/= hiyo!!)