Ndoa za siku hizi majanga

mtzmweusi

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
8,704
Reaction score
9,079
Habari za mchana wana MMU, nisiwachoshe nataka juwauliza tu dada zangu hivi mkiolewa kwanini hamtulii kwenye ndoa zenu? Kuna wadada wenye ndoa zao karibu 10 wote nimewatongoza wakskubali sema tu nawaonea huruma wanaume zao do sijapiga ila nimeshangazwa na kitendo hicho cha wao kukubali wakati wameolewa
 
Dah! inakuwaje uwashawishi wake za wenzako wewe, huogopi? dah kweli dunia inamambo!
 
Dah! inakuwaje uwashawishi wake za wenzako wewe, huogopi? dah kweli dunia inamambo!
kwanini na yenyewe yashawishike ni sawa na aliyeshiba halafu hawezi kusema nimetosheka? ukiona maharage leta, mnavu lete, mayai lete, maandazi lete, birihani lete yaani wanawake wa siku hizi m.b.ooo wanazipenda wanatamani walale ikiwa ndani!!!!!!!!!ptuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 

Hata vitabu vimeandika ombeni mtapewa, sasa wewe unashangaa nini?
 
Wewe ulijuaje kama wapo kwenye ndoa zao? Ulikuwepo kwenye harusi zao ama wameshakuonyesha marriage certificate za ndoa zao.
 
Subiri wame zao wakuombe na wewe ,wawo hawatakujaribu watafanya kweli sasa.
 

Kwaio unawajaribu...messing with their feelings...ovyoooo
 
nataka juwauliza tu dada zangu hivi mkiolewa kwanini hamtulii kwenye ndoa

Tunaolewa Lakini hatujui kwanini tunaolewa
tunaolewa kwa sababu marafiki wameolewa (fashion)
tunaolewa kwa sababu umri unaenda
uvumilivu hakuna, haturidhiki, mapenzi yamekuwa money based

kiukweli wake za watu utulivu F, yani ukitaka kumla no kikwazo..
 
Huyu ndugu ana point nzuri lakini tunamshambulia. Well, kuwatongoza wake za watu si vizuri lakini huyu naona aliwatongoza kama sehemu tu ya utafiti. Sasa kama 10 wote wamekubali kweli tujiulize siku hizi ndoa ni fasheni tu? Maana tulitaraji mke wa mtu isitokee akatongozwa akakubali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…