Ndoa za kulazimishwa zipo hadi leo?

Ndoa za kulazimishwa zipo hadi leo?

Frank Bunini

New Member
Joined
Jun 8, 2025
Posts
1
Reaction score
1
Hadi leo hii kwenye jamii yetu bado kuna msukumo wa watu kuoa au kuolewa kwa kulazimishwa.

Mtu analazimishwa kumuoa/kuolewa na mtu fulani kwa sababu tu wanazozijua wao wazazi. Hili wadau limekaaje kwenye dunia ya sasa?
#JF
 
Back
Top Bottom