Ndoa za kulazimisha ni mbaya kwa kweli

Ndoa za kulazimisha ni mbaya kwa kweli

andrewmsumeno

Member
Joined
Aug 20, 2014
Posts
17
Reaction score
0
Habari wadau kuna rafki yangu mmoja ni kijana mdogo tu sasa baba yake kamlazimisha kuoa hiyo ilikuwa ni mwezi wa 6 mwaka huu dogo kajitahidi kugoma lakini mshua kalazimisha, ilifikia familia yote ikamgeuka, kwa kuwa baba presha imepanda kalazwa kijana kukataa ndoa.

Kisanga kimetokea huyo mke kabadilika amekua kicheche kwa maelezo ya huyu rafiki yangu, so kijana anawaza afanyeje maana huyo mke kwa sasa ana mimba imefikia mahali anakataa hata hiyo mimba kwa upande mwingine anamwonea huruma huyo mke, yuko njia panda mimi nimemshauri mawazo yenu yanaweza msaidia, karibuni kwa mchango.
 
Karne hii watu bado wanalazimishana mambo ya ndoa?

FOH!
 
habari wadau kuna rafki yangu mmoja ni kijana mdogo tu sasa bab yake kamlazimisha kuoa hiyo ilikua ni mwezi wa 6 mwaka huu dogo kajitahidi kugoma lakini mshua kalazimisha ,ilifkia familia yote ikamgeuka ,kwa kua baba presha imepanda kalazwa kijana kukataa ndoa ,kisanga kimetokea huyo mke kabadilika amekua kicheche kwa maelezo ya huyu rafki yangu,so kijana anawaza afanyeje maan huyo mke kwa sasa ana mimba imefkia mahali anakataa hata hiyo mimba kwa upande mwingine anamwonea huruma huyo mke ,yuko njia panda mi nimemshauri mawazo yenu yanaweza msaidia ,karibuni kwa mchango

Sipati picha ungekuwa wewe.
Maana hapo una kiteitei ..
Nahisi yangekukuta ungejinyonga
 
Ameweza kua nae Na mimba juu halafu anasema kicheche, au sijafahamu vizuriiii?
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1419275693.105229.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1419275693.105229.jpg
    55.1 KB · Views: 276
Sasa mkuu mbna atujaelewa iyo stori unasema mshikaj amegoma, alafu baba kalazwa mara presha imepamda zen mke amekuwa kicheche so atakuwaje mke tena wakat uyo jamaa amekataa kumwoa tengeneza stor vzur bana
 
Huyu nae kaleta pumba zake,nyosha maelezo kama rula ya architect
 
Sasa mkuu mbna atujaelewa iyo stori unasema mshikaj amegoma, alafu baba kalazwa mara presha imepamda zen mke amekuwa kicheche so atakuwaje mke tena wakat uyo jamaa amekataa kumwoa tengeneza stor vzur bana

ungeasema hujaelewa wewe wengine wameelewa
 
habari wadau kuna rafki yangu mmoja ni kijana mdogo tu sasa bab yake kamlazimisha kuoa hiyo ilikua ni mwezi wa 6 mwaka huu dogo kajitahidi kugoma lakini mshua kalazimisha ,ilifkia familia yote ikamgeuka ,kwa kua baba presha imepanda kalazwa kijana kukataa ndoa ,kisanga kimetokea huyo mke kabadilika amekua kicheche kwa maelezo ya huyu rafki yangu,so kijana anawaza afanyeje maan huyo mke kwa sasa ana mimba imefkia mahali anakataa hata hiyo mimba kwa upande mwingine anamwonea huruma huyo mke ,yuko njia panda mi nimemshauri mawazo yenu yanaweza msaidia ,karibuni kwa mchango

tulia uhadithie vizuri sio kuruka ruka kama bisi kwenye kikaango
 
Jamaa umepanic kibwege kweli hii issue lazima inakuhusu..tuliza akili acha mkurupuko njoo kesho andika story vizuri.

Usiniwaze kama huwezi kujiwaza.
 
Hii hadithi haieleweki. Ngoja nipite kwanza. Ila bila shaka huyo jamaa ni ww
 
Back
Top Bottom