OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
hahaaa kuna watu wana balaa sana....
Kwani kidogo???!!!!
Ziwekwe pichu za maandishi kuwa ni marufuku ku pii hapa kama huna lengo la kulea!!!
hahaaa kuna watu wana balaa sana....
naona unapata sababu zaidi za kusema bado upo upo sana......
Lbda alichelewa kupata taarifa . Pia inawezekana huyu bwana alikaidi , kumbe alizaa na wanawake 5 na wote aliwatelekeza.huyu mama mbona siku zote hakwenda kuweka pingamizi mpaka asubiri siku ya kufunga ndoa?
Ntaangali vdeo bdaye.lakini kwanini ihairishwe wakati huyo mwanamke walikuwa wanamipango tu ya kuoana na hawakuwa wameoana ama cjaelewa?