Mwanamalundi
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 3,125
- 1,437
Habari zenu wapendwa,
Namshukuru Mungu ananipigania.
Niwape fidback ya ndoa yangu .
Mume wangu alirudi ile ile tare 24 hakuwa na pasport wala document yyte inayoonesha siku alipowasili tanzania alizificha na mpaka leo pasport yake sijawah iona.
Kikubwa nashukuru kwa ushauri wenu kwani sikugombana nae lakini nilimweleza kuwa nafahamu aliingia lini nchini.
Nawashukuru wote mlionipm na kunishauri vizuri nimekuwa na moyo sana,sijishughulishi nae nipo bize na biashara zangu tunaishi kwa amani what I know time will tell!
Kuna siku kaniamsha akaniambia nimsamehe amebadilika nikamwambia usijali sina tatizo na wewe.
Ninachopenda kuwaambia wenzangu mlioko kwenye ndoa Muaminini Mungu,nimekuwa nikimwamini na ninamuona akinitetea sana.
Haya ni mambo yako binafsi. Kwanini lakini unaamua kuandika siri zako za ndani hapa jf. Hii sio tabia nzuri hata kidogo. Mwisho utaanza kutuambia jinsi mnavyogegedana hapa jamvini. Huu sio ustaarabu kabisa. Tumechoka.