Ndoa yangu

Ndoa yangu

davina

Senior Member
Joined
Jan 21, 2012
Posts
113
Reaction score
87
Habari zenu wapendwa,

Namshukuru Mungu ananipigania.

Niwape fidback ya ndoa yangu .

Mume wangu alirudi ile ile tare 24 hakuwa na pasport wala document yyte inayoonesha siku alipowasili tanzania alizificha na mpaka leo pasport yake sijawah iona.

Kikubwa nashukuru kwa ushauri wenu kwani sikugombana nae lakini nilimweleza kuwa nafahamu aliingia lini nchini.

Nawashukuru wote mlionipm na kunishauri vizuri nimekuwa na moyo sana,sijishughulishi nae nipo bize na biashara zangu tunaishi kwa amani what I know time will tell!

Kuna siku kaniamsha akaniambia nimsamehe amebadilika nikamwambia usijali sina tatizo na wewe.

Ninachopenda kuwaambia wenzangu mlioko kwenye ndoa Muaminini Mungu,nimekuwa nikimwamini na ninamuona akinitetea sana.
 
Hongera dada kwa kuupa moyo wako ganzi ,na huku huyo jamaa akikupunguzia siku zako za kuishi
Big up tunataka wanawake wenye roho ya chuma kama wewe
 
pole na hongera kwa kumsamehe. ila daha ingekuwa mimi sijui ingekuwaje, asante nimejifunza kitu kutokana na tatizo lako lilivyokuwa
 
Ilikuwaje kwa tuliopitwa tunapenda kujifunza kwa tulilopitwa
 
Kama kweli umemsamehe toka ndani ya moyo wako Hongera sana. Muonyeshee upendo wa dhati, naamini atazidi kujutia dhambi zake na pia ataongeza upendo zaidi kwako. Njia Kuu ni njia Kuu..Tu...Michepuko ni Temporary...Big Up Mdada!
 
Habari zenu wapendwa,

Namshukuru Mungu ananipigania.

Niwape fidback ya ndoa yangu .

Mume wangu alirudi ile ile tare 24 hakuwa na pasport wala document yyte inayoonesha siku alipowasili tanzania alizificha na mpaka leo pasport yake sijawah iona.

Kikubwa nashukuru kwa ushauri wenu kwani sikugombana nae lakini nilimweleza kuwa nafahamu aliingia lini nchini.

Nawashukuru wote mlionipm na kunishauri vizuri nimekuwa na moyo sana,sijishughulishi nae nipo bize na biashara zangu tunaishi kwa amani what I know time will tell!

Kuna siku kaniamsha akaniambia nimsamehe amebadilika nikamwambia usijali sina tatizo na wewe.

Ninachopenda kuwaambia wenzangu mlioko kwenye ndoa Muaminini Mungu,nimekuwa nikimwamini na ninamuona akinitetea sana.

Hii hadithi ilianza kabla ya world cup au?
 
Kama kweli umemsamehe toka ndani ya moyo wako Hongera sana. Muonyeshee upendo wa dhati, naamini atazidi kujutia dhambi zake na pia ataongeza upendo zaidi kwako. Njia Kuu ni njia Kuu..Tu...Michepuko ni Temporary...Big Up Mdada!

Asante wangu kuna watu walinishauri sana na nikawaelewa sasa hivi naishi kwa amani sijali michepuko yake naona nae kaanza kuikataa
 
kama angemsamehe asingekuja kuileta hii hadithi hapa. İ tell you me.
 
Asante wangu kuna watu walinishauri sana na nikawaelewa sasa hivi naishi kwa amani sijali michepuko yake naona nae kaanza kuikataa

Moja ya kinga kuu ya mtu aliyeathirika ni kujipa moyo na kuishi kwa matumaini. İla ukweli unabaki palepale kuwa jasiri haachi asili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom