Ndoa yangu ipo mashakani

Waswahili wa kizazi kipya wanasema, Ukiona Manyoya ujue kesha liwa. Ndugu tafuta Mwenzi mwengine, watoto isiwe kisingizio cha kuto kuishi maisha yako. No one has the right do deny you, to live a happy life, except yourself.
 
harufu sio kikwapa tu. kuna ze pumbus.
 
Nashukuru kwa ushauri murua.. Nitazingatia..Barikiwa sana..!
Nimeshakupa ushauri wa kitaalam kwenye coment yangu humu nakushauri pia kuni PM lakini naona kama hujasoma maoni yangu kwa sababu naona bado unaendelea kuomba ushauri zaidi na zaidi.Pengine sasa subiri ushauri wa kutoka mbinguni.
 
jaribu kumlisha asali maana wanasema asali inaleta hamu ya tatizo lako....otherwise hakupendi kilasiku vilevile tu..
 
Ushauri mzuri sana ,Jikoni watoto wakiwakuta ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…