Ndoa yangu ina mwezi wa 9 sasa lakini imekuwa ya kutoelewana

WANAJAMVI HABARI ZA MDA HUU.!

NAOMBA MNIPE USHAURI WENI MAKE NIMECHOKA KUVUMILIA

nimeoa ndoa yangu ina mwezi wa 9 sasa lakini ndoa yangu imekuwa ya kutoelewana. yani mi nacho mwambia mke wang mfano kosa fulani limetokea kwake sasa ile nataka kumwelekeza nakwambia hapo ndo ugomvi unaanzia afu ni mama kijacho wangu afu nampenda je! ni do what me now? means nimechoka sasa naombeni ushauri wenu wana jamvi

USHAURI WENU JAMAN!
HASANTE
Huu utakuwa ubongo wa flavor. Yaani ugomvi wako na mkeo, tena ndoa ikiwa bado changa unauleta huku JF? Be serious Mkuu!
 
WANAJAMVI HABARI ZA MDA HUU.!

NAOMBA MNIPE USHAURI WENI MAKE NIMECHOKA KUVUMILIA

nimeoa ndoa yangu ina mwezi wa 9 sasa lakini ndoa yangu imekuwa ya kutoelewana. yani mi nacho mwambia mke wang mfano kosa fulani limetokea kwake sasa ile nataka kumwelekeza nakwambia hapo ndo ugomvi unaanzia afu ni mama kijacho wangu afu nampenda je! ni do what me now? means nimechoka sasa naombeni ushauri wenu wana jamvi

USHAURI WENU JAMAN!
HASANTE
Itakua ni ujauzito tu Mkuu,rfk yangu mke wake nae n mjamzito,yani bora wewe ugomv,yan yule hataki kumuona hata ndani ...
 
l swear kazi unayo mkuu,anakiburi huyo!,ngoja watoto waje fika 2 uone kivumbi pls keep this record / and this threads to "bookmark"
Vijanamke vya siku hizi ni BANGE tupu.
 
l swear kazi unayo mkuu,anakiburi huyo!,ngoja watoto waje fika 2 uone kivumbi pls keep this record / and this threads to "bookmark"
Vijanamke vya siku hizi ni BANGE tupu.
 
WANAJAMVI HABARI ZA MDA HUU.!

NAOMBA MNIPE USHAURI WENI MAKE NIMECHOKA KUVUMILIA

nimeoa ndoa yangu ina mwezi wa 9 sasa lakini ndoa yangu imekuwa ya kutoelewana. yani mi nacho mwambia mke wang mfano kosa fulani limetokea kwake sasa ile nataka kumwelekeza nakwambia hapo ndo ugomvi unaanzia afu ni mama kijacho wangu afu nampenda je! ni do what me now? means nimechoka sasa naombeni ushauri wenu wana jamvi

USHAURI WENU JAMAN!
HASANTE
Pole boss, ndo yako hainantatizo lolote, subiri mkeo akijifungua kila kitu kitakaa sawa,mwanamke akiwa na mimba unatwkiwa uwe mvumilivu saaaaana, kila analotaka mfanyie, tena bila kulaum, jitahidi kuwa naye karibu kila unapopata muda wakufanya hivyo. Huu ndo muda maalum mwanamke huhitaji faraja kutoka kwa mume wake,

Usipofanya haya nini kinatokea
1. Ikumbukwe mwanamke huishi kwa kuhisi hisi sana, na huishi kwa kufanya simmulation nyingi na kufanya maamuzi mengi katika kuhisihisi huko and huwa hawajiamini. Hisia hizi huzalisha hormones za kike kwa wingi na huwa zinamwathilimtoto aliye tumboni, km ni wa kiume atazaliwa akiwa na tabia za kikekike sana.
2. Baada ya mwesi wa tatu wa mimba, mtoto huanza kusikia na kutambua sauti za wazazi wake, hivyo unaweza kuanza kuongea naye, kumwimbia nyimbo ili ujenge ukaribu naye toka akiwa tumboni
 
Una umri gani mkuu... Hapa nahisi muda wako ulikua bado kuwa na mwenza... Mtu ni mjamzito lkn hujielewi,...
 
WANAJAMVI HABARI ZA MDA HUU.!

NAOMBA MNIPE USHAURI WENI MAKE NIMECHOKA KUVUMILIA

nimeoa ndoa yangu ina mwezi wa 9 sasa lakini ndoa yangu imekuwa ya kutoelewana. yani mi nacho mwambia mke wang mfano kosa fulani limetokea kwake sasa ile nataka kumwelekeza nakwambia hapo ndo ugomvi unaanzia afu ni mama kijacho wangu afu nampenda je! ni do what me now? means nimechoka sasa naombeni ushauri wenu wana jamvi

USHAURI WENU JAMAN!
HASANTE
Acha ujinga! Ni do what me noe ndo nini?
Kuwa baba na mume kwa Mara moja
 
Jifunze kukaa kimya sio kila kosa unaongea.

Mfano hapa jukwaani tungeacha kujadili mada kuu na kujadili makosa ya kisarufi na herufi ungejisikiaje? Yani kila mtu angecomment jifunze kuandika kwanza.

Be a gentleman achana kubishana na mimba.
WANAJAMVI HABARI ZA MDA HUU.!

NAOMBA MNIPE USHAURI WENI MAKE NIMECHOKA KUVUMILIA

nimeoa ndoa yangu ina mwezi wa 9 sasa lakini ndoa yangu imekuwa ya kutoelewana. yani mi nacho mwambia mke wang mfano kosa fulani limetokea kwake sasa ile nataka kumwelekeza nakwambia hapo ndo ugomvi unaanzia afu ni mama kijacho wangu afu nampenda je! ni do what me now? means nimechoka sasa naombeni ushauri wenu wana jamvi

USHAURI WENU JAMAN!
HASANTE
 
Kama ulifikiri ndoa raha tu unajidanganya kuna karaha tena nyingi huo mwanzo tu.na wote wako hivyo kinachobaki uamuzi wako.vumilia
WANAJAMVI HABARI ZA MDA HUU.!

NAOMBA MNIPE USHAURI WENI MAKE NIMECHOKA KUVUMILIA

nimeoa ndoa yangu ina mwezi wa 9 sasa lakini ndoa yangu imekuwa ya kutoelewana. yani mi nacho mwambia mke wang mfano kosa fulani limetokea kwake sasa ile nataka kumwelekeza nakwambia hapo ndo ugomvi unaanzia afu ni mama kijacho wangu afu nampenda je! ni do what me now? means nimechoka sasa naombeni ushauri wenu wana jamvi

USHAURI WENU JAMAN!
HASANTE
 
Kwa Sisi waislam ni haram kumuacha Mke akiwa mjamzito au yupo period
Mvumilie labda ni ujauzito tu
 
nawahurumia waliodhamini harusi yako!

"juzi eamevunja kamati ya harusi. leo wajiandaa kuvunja ndoa.

SITOI MACHANGIZO YA HARUSI NA GHARAMA ZA AINA HIYO, NI UPOTEVU WA RASLIMALI PESA! IKUMBUKWE NDOA I MOYONI JAPO WENGI HUIPAMBA MACHONI.
 
Unabishana na mimba braza?... Soon utaambiwa ukalete supu ya ngamia,,, hao viumbe wakiwa wajawepesi wanavisa...araf siku moja moja unakachapa makofi.... Katulie
 
Back
Top Bottom