ndoa yangu ilikaribia kuvunjika.....

red apple

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
780
Reaction score
1,216
ni miezi karibu mitano, my hubby alibadirika kabisa! hatukuwa na story ndani ya nyumba, hakuwahi kuwa na hamu na mimi, nikitaka kuongea nae he was like "every thing is ok" mpaka nikakumbuka tangazo la "hisani ya watu wa marekani linalosisitiza kuvunja ukimya" imagine tulimaliza miez miwili bila hata kunigusa ( bila ku duu). and then nikawa too lonely sometimes nkapata na idea ya ku flirt but dhamira ilinisuta... nkabaki naumia. Nikaa mua kuchunguza kama he is cheating on me but sikuambulia chochote ila nkagundua jamaa ame loose apetite nami completely ananiona like no body.

And then nika amua kuishi maisha yangu, nikawa busy na kazi sikumsumbua tena.. sikumgusa. Nikaamua kuwa happy nikatafuta na short course nikasoma. Weekend nikawa nakaa sana kwenye biashara yangu. Nikaanza na mazoezi kila siku jioni nyumbani nikawa busy na kids na kuchat with friends... in short nika amua kumpa some space (kuubwa) huku nikiugulia kwa wivu ndani.
Ghafla ths month akabadirika kaanza kuniambia how beautiful Iam, how much he loves me na amekuwa na wivu nami etc.... ndoa imekuwa tamu ajabu. Najiuliza alikuwa na mtu sasa amemwacha? alikuwa kanichoka? nilikuwa na mbana sana? au ninini? ndoa yangu ni ya 6 years with blessed two kids.
 
kuna wakati huwa inatokea hizi habari kwenye ndoa!
jus enjoy utamu sa hizi mwaya alikuwa naye akamuacha sijui alikuwa na nini hiyo tupa kule yameshajiset kimaombi maombi na wewe ushabadilisha mfumo wa mambo flani umelook sexy now!JIFAIDIE MWAYA!
 
Hongera kwa uvumilivu kama WASTARA!Mungu akusaidie tena ndani ya ndoa yako! Huyo ni shetani tu alijaribu kuleta ufa huo
 
Hongera sana kwa achievement hiyo... Katika malezi na makuzi yetu (kwetu) tumefundwa kuwa ndoa mwanamke ndio huamua ivunjika ama isivunjike. Kwa maana kwamba unaweza kuwa na mume ambae 'is worth it' kwa vigezo vyako mwenyewe but hana muelekeo - hapo you fight in any way kuhakikisha kuwa anarudi katika mstari. Na hapo hapo unaweza uwe na mume ambae 'is not worth it' kwa vigezo vyako mwenyewe na hana muelekeo na ukaamua kuwa aende zake na ndoa ikavunjika.

Tukija suala la ndoa yako... Mume wako ana jibu kamili na maybe siku moja ata share. Ila kwa mukatadha wa dondoo ulizotoa ina maana kuwa ulibadilika from a boring wife (as per his perceptions) to an alluring one (per his perception too). Inawezekana maybe tokana na majukumu na kazi nyingi na watoto kuzaa you had changed from the way ulikwa kabla hamjaoana kama ilivyo kwa wengi ambayo kwa kiasi fulani ilimfanya hamu juu yako iishe (hili aliwahi kiri hapa SnowBall anaweza eleza zaidi) - na kitendo chako cha kujijali zaidi, kuanza mazoezi na kum ignore ikamfanya awer allured upya.

Ni ajabu saana why na how men are most drawn to women who tend to shore attitude towards them hata kama ni ku ignore.
 
Last edited by a moderator:
Possible visababisho
1. Ulimsumbua sana ulipohisi tatizo akajenga usugu wa hasira
2.Wanaume kama mimi tuna kipindi kama hicho hasa ninapokuwa na mawazo mazito ya mstakabali wa familia na mke akiwa sehemu ya familia hiyo....Ila tunaomba likizo fulani sema na nyie hamuelewi kirahisi zaidi ya kufikiri kuna kimada
3.Ulibadilika umbo kwa kiasi kikubwa na kuwa mdebwedo na baada ya mazoezi umerudi ulingoni
4.Uvivu uliokidhiri, hapa kwa pande zote na una madhara kwani kila ukifika muda haziishi sababu za kujitoa mchezoni....looh hili ni kama maumivu ya kichwa kwani huanza taratibu na mwisho makali
5.Bomu lilikuwa linaelekea kulipuka kazini na hakutaka ujue kuhofia kukufadhaisha
6.
7..........................................
 


Tatitizo mnasahau masomo ninayowapa dada zangu!!! "EMBU JIKUMBUSHE KWA KUSOMA TOPIC HIYO HAPO CHINI"

https://www.jamiiforums.com/mahusia...6036-mwanaume-akikimbilia-pangoni-muache.html
 
kaachwa mahali huyo karudi aende wapi?
ila mpokee tu ni wako huyo,pole kwa matatizo uliyoyapata .
 
hongera sana kwa uvumilivu,

Nakuchagua kufanya yaliyo mema, sasa wewe usitake kujua kisababishi ni nini?? kula raha ya ndoa mwayego
 
I like your "I can live without you" strategy
Advice: Kumbukeni kupima mara kwa mara.
 
hongera kwa uvumilivu ,busara na hekma ulizo 2mia
 

mmmmh asante kwa ushauri, umenifikirisha zaidi....
 
hilo nalo neno ndugu.
 
Mazoezi yamekufanya urudi kwenye ujana...sasa usije acha sasa eti kisa mmeshaelewana. Lol
 
Smile mbona unamkatisha tamaa mwenzio...shock absorber sio...

Unapokuwa huna pesa nyumbani hutoki; mwisho wa mwezi unapofika Kassimu huonekani

kaachwa mahali huyo karudi aende wapi?
ila mpokee tu ni wako huyo,pole kwa matatizo uliyoyapata .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…