Thanks for usefull post
Nimekereka sana wiki hii, nimemshuhudia ndugu wa rafiki yangu akifanyiwa vibweka na mkewe wazi wazi, lakini jamaa yupo tu......... na kila siku haishi kulalamika kuwa mkewe anamtenda visivyo............... Mtu mzima na akili zake timamu anashindwa kuchukua maamuzi anabaki kulalamika .....................!!!!!!
Huo ndio ukweli halisi... Mtu akiishi kama aliyekamilika atajiamini no mata what, na siku zote anayejiamini yupo huru!..Ni vyema ikawa hivyo kama utaamua kuishi kama mwanadamu aliyekamilika................. lakini ukitegemea kukamilishwa na mwingine....... You will be in trouble...........
Kabla ya kuja hapa jamvini ulimsaidia vp kamanda wako??
Duuh mbona tunatishana kuingia huko kwenye ndoa, kwamtindo huo mbona watanishkia bakora kuhusu kuoa..