sana tu wanaume hawana shukrani ., wema mtendee mbuzi utakuja kunywa mchuzi na si binadamu maana atakuudhi tu
Ndoa ni maelewano .sikufichi sijawahi kuwa na ugomvi na mume wangu we argue may be shule gani watoto waende( my hubby alitaka home schooling walimu waje hapa ndani nikakataa nikapinga wanangu wanahitaji kuwa na marafiki ) Mie napenda shopping ugomvi hapo (to be honest I shop too much ) .Otherwise mume wangu amekubali I'm a Bosy lady na mkimwaa.we are in love as if we just met .na mume wangu ananipenda kufaaa .kila siku nambamba ananiangalia in a very romantic wet eyes. .Ninapendwa ninakiburi na nimjamzito mtoto wa 4 uwiiiii nadekezwaje .Hapa nina flue mume wangu yupo hapa pembeni.I love Rutherford uwiiiiiiiiiii