Sijaona mahali panapoweza kunishawishi kuwa ndoa imevunjika. Acha ulimbukenijamani inasikitisha na ni kwani ukubali kufunga ndoa kama inaweza kudumu kwa siku mbili tu na sio maisha.
wana mmu ndoa imefungwa jmosi trh 5/11 na imevunjika trh 6/11 jpili wakiwa kwenye honeymoon,binti aacha ujumbe atoweka,majirani hawajajua tatizo ni nini,kila mtu anakuja na la kwake?
lakini inakuwaje ukubali kufunga ndoa na unajua hauwezi kudumu nayo au tatizo gani kubwa ambalo haliwezi kusameheka wakati wa fungate mpaka kuamua kuvunja ndoa?
yanayoongelewa:
-labda mwanaume sio riziki
-labda mwanamke amekimbia shughuli ilivyokuwa kuwa pevu usiku ule,labda alikuwa bikira
-huenda binti alikuwa na mtu mwingine
why this happens?watu wamelia sana
wanawake wengne wanakaa kwa waume wao kwa mateso sana. huenda dada kakuta kaka ana saizi siyo sawa. mimi nimewahi kusmuliwa na wenawake wawili juu ya wanaume ambao ni zaidi ya kawaida. na balaa zaidi wegine wanataka kukaanga vitumbua bila mafuta. hawana huruma kwa ile kitu. mzuka uksha panda wala hakumbuki kuangalia kama mafuta yapo au la., kidume kinadumbukiza chuma kwa ujasiri. mwenzie akilia yeye anaona ndiyo kafanikiwa.
hivyo huenda huyo alishazoea fimbo sasa kakuta gogo kaogopa mateso... ukimwona huyo dada muulize kama hatakupa kisa kama hiki.. kubembeleza ni zaidi ya kula mzigo . hata kama demu hakufagilii kwa bakora ila kama unatumia masaa kubembeleza mchezo,, basi ujue hiyo ni dawa ya kudumisha ndoa...
jamani inasikitisha na ni kwani ukubali kufunga ndoa kama inaweza kudumu kwa siku mbili tu na sio maisha.
wana mmu ndoa imefungwa jmosi trh 5/11 na imevunjika trh 6/11 jpili wakiwa kwenye honeymoon,binti aacha ujumbe atoweka,majirani hawajajua tatizo ni nini,kila mtu anakuja na la kwake?
lakini inakuwaje ukubali kufunga ndoa na unajua hauwezi kudumu nayo au tatizo gani kubwa ambalo haliwezi kusameheka wakati wa fungate mpaka kuamua kuvunja ndoa?
yanayoongelewa:
-labda mwanaume sio riziki
-labda mwanamke amekimbia shughuli ilivyokuwa kuwa pevu usiku ule,labda alikuwa bikira
-huenda binti alikuwa na mtu mwingine
why this happens?watu wamelia sana
watu wanalilia nini sasa, michango yao?
Itakuwa michango asee, mie siku hizi sichangii tena watu wakioana, nachanga graduation za watoto wanaohitimu elimu ya msingi only!watu wanalilia nini sasa, michango yao?
watu wanalilia nini sasa, michango yao?