Yaani kila mara wabara wakiufananisha muungano HUU na ndoa basi Zanzibar inabeba jinsia ya kike (anakuwa ndio mke!) na Tanganyika mume.....hii imekaaje?
yaani kila mara wabara wakiufananisha muungano huu na ndoa basi zanzibar inabeba jinsia ya kike (anakuwa ndio mke!) na tanganyika mume.....hii imekaaje?