Ndoa ya zanzibar na tanganyika

Ndoa ya zanzibar na tanganyika

makaomakuu

Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
46
Reaction score
4
tz.jpg
Hii ndiyo ndoa/muungano.
 
Ujumbe umefika mkuu.

na ndoa nyingi za sasa zipo kwa mtindo huo
 
Wakiambiwa waachane hawataki

Wakiwa mbele za watu huwezi kuamini wanalala hivi
 
Yaani kila mara wabara wakiufananisha muungano HUU na ndoa basi Zanzibar inabeba jinsia ya kike (anakuwa ndio mke!) na Tanganyika mume.....hii imekaaje?
 
yaani kila mara wabara wakiufananisha muungano huu na ndoa basi zanzibar inabeba jinsia ya kike (anakuwa ndio mke!) na tanganyika mume.....hii imekaaje?


:embarrassed: :A S 109: :A S angry:
 
Back
Top Bottom