Ndoa ya wake wengi

* I am not dragging anybody along, just like any other debate there are proposers and opposers...

Okay, so just like an ordinary Opposer- I think that's a ridiculous Idea because ;
The law merely follows what faith already dictated to the individuals. You can't change that because you'll first need to change peoples faith, which I think is a very long shot for you.
Another way is if you come up with your faith that supports polygamy. Then you'll have to have way many followers before you get to complain about the law.

Other than that, I think your idea is way more ridiculous than you starting your own faith just to get couple of wome legally in bed with you!

If that does not make you empty your bladder and hit the bed, I don't know what will....
 
Vyeti sasa

Vyeti vya nini mkuu bana..?? Zile nyeti zao ndio vyeti unadhani mfalme Suleiman alikuwa na vyeti 700 vya ndoa? Kwanza vyeti vya ndoa wanandoa hutunukiwa kabla hawajafuzu mitihani ya ndoa ambayo wanandoa wengi hufeli baada ya muda mfupi tu kabla hata ndoa haijafikisha umri wa miaka 25..!!
 

Hata ke huwa hawatosheki na dume moja kama ulikuwa hujui ila kwa kuwa culture imewaaminisha hivyo na mkaamininila ke wakiamunkulala nankila dume wafuate tunmatakwa ya miilinyao bila kutumia akili hii dunia haitakalika cha muhimu ni kujicontrol basi
 

* Your proposals are expensive in terms of cost-benefit analysis

* You have to understand that laws are flexible in the sense that they are subject to change plus laws become obsolete that they need to be modernized

* Those minor changes can help not just me but a whole bunch of proposers you've already read
 

* Hivyo vyeti vinasaidia kwenye masuala ya kisheria mkuu
 

akikushauri hivyo ujue unamapun gufu la cvyo hakuna mtu anaeweza kukubali kushare utamu wa mume hata wale wa dini fulani wanakubali tu wafanyeje wkt dini inataka hvy wengi wao wanaugulia maumiv kimyakimya. wote tuna moyo was nyama maumivu ni yaleyale!!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…