Ndoa ya Somizi na Mohale chalii

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,382
Licha ya ndoa yao kuwa one of the biggest wedding ever iliyowahi kutokea South Africa, wanandoa maarufu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja, kutoka South Africa , Somiz (47)& mohale (26)wanaripotiwa kuachana miezi ya hivi karibuni, chanzo kikiwa ni mohale kushutumiwa kuwa ni gold digger licha ya mume wake huyo kuwa millionare wa kutupwa.

Mara nyingi somizi amekua akilalamika kuwa mpenzi wake huyo amekua akitumia muda mwingi sana kwenye simu, na hata wanapokua pamoja sehemu mbali mbali mume wake huyo haonyeshi kama anafurahi penzi lao kama ilivyokua zamani

Hat hivyo , mara kwa mara wadau wamekua wakimshutumu mohale kuwa yuko na somizi kimaslahi tu na sio kuwa anampenda kweli, Kwan toka waachane mohale ameonekana kuwa unbothered na kuendelea na maisha yake. Hata hivyo bado wenyewe hawajaweka wazi kama wameachana kweli au ni rumors.

IMG_2486.jpg

IMG_2485.jpg

IMG_2484.jpg
 
Mhhh! Inahitaji moyo wa chuma kumla/kuliwa na mwanaume mwenzako. Namshukuru Mwenyezi kwa kuniepusha na hisia za kishetani kama hizo.

cocastic njoo utie neno hapa. Huu uzi usipite kirahisi tu bila ya kuchangia chochote.
Yaan ukaona bila kunitag hutoridhika na moyo wako?
Sasa kwenye hiyo ndoa mie ntazungumza nn? Wao wenyewe ndo wanaojua wana achana kisa nn, sie wengine watazamaji tyuuh.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Tatzo la hawa watu m1 wapo hayupo ki dhati ktk mapenzi ya mlengo huo, yupo kwa ajiri ya maslahi, ndo maana wanaishia kuparaganyika tyuuh.

Na huyo bibie nae ameshindwa kabisa kumdhibiti huyo bwana, hadi anachezeshwa hivo kidamali? mambwata yote haya duniani hapa? Khaaaaah

Nawaombea kwa Jah wamalize tofauti zao, wakae chini na kujenga ndoa yao upya irudi km zamani.
 
Umesha ambiwa ndoa ya jinsia moja wewe unatafuta mke? Kama wangetaka mwanamke wangeoa mwanamke ila hawaja zaliwa na hisia hizo. Wabongo mnachosha na small mindedness zenu

Acha kukurupuka
Kwa akili yako ndogo unadhani kati ya hao wawili hakuna anayetambulika kama mke?
Yaaani unatarajia wanaitana mume mume?

Uwe unasoma basi hata mada yenyewe,usikurupuke kukosoa ujinga
 
Back
Top Bottom