Dah kweli mkuu nashukuru kwa kunisahihisha, dah ila ndomo na yeye sijui aliwaza nini kupanga kule wakati yeye ni bilionea kama anavyojiita
Si angepanga hata zile nyumba zilizo nyuma ya mlimani city walau tungemuona the don, sasa kule karibia na wanyama hotel ushenzin ukipita unaona gari la ndomo lile limepak yan unaona kila kitu ndani na hakuna cha security guards achilia mbali wamasai wanaolinda