Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,037
- 168,677
Hakuna ndoa isiyokuwa na highs and lows jamani.Sababu za lows zinaweza kuwa nyingi tu - kuanzia kutokuwa na muda na familia kwa sababu yeyote ile, kukosa uaminifu,kukosekana kipato cha kutosha, maradhi,migogoro ya ndugu, mitafaruku isababishwayo na malezi ya watoto, n.k. Sasa nani kasema akina Obama ni Malaika?
Let them live their life as any other married couple with their highs and lows!

Mkuu Maane,WoS, you said it all. You always inspire me with your substances!!! Asante.
Wakuu kwa maisha ya ndoa kila siku ijayo na kupita ni kumshukuru Mungu kwani siku hiyo na tarehe hiyo hutakaa uione tena,, itabaki kuwa kumbukumbu. Kinachotakiwa ni kujaribu kwa pande zote kuweka historia nzuri (your marriage past)!! Ndoa si lelemama!! Ni kazi nzito!!! I pray for my 50th Marriage aniversary(kwa mtiririko wa Bronze, Silver, Golden and Diamond jubilees) !!!!! Ni kazi kubwa hapo wakuu!!
wanawake bana........ukiishiwa nao wanasepa.........Utulivu ulirudi katika ndoa yao baada ya Obama kuchaguliwa kuwa seneta mwaka 2004.
wanawake bana........ukiishiwa nao wanasepa.........
wewe YY!
tusihukumu jumlajumla... hata hapahapa JF ingekuwa inawezekana kupata shuhuda za wanawake walioshikana na waume zao kwenye shida ungeona kuwa sio wote wanasepa kama unavyosema.Hata Michele alichokuwa analalamikia ni kumkosa mume na baba wa watoto wake na siyo kuishiwa.
iam sorry....labda kosa langu ni kuishi katika ki statistics sana.....too much approximation lakini ukweli unabaki pale pale.....more than 60 ya wanawake ukiishiwa wananuna na kusepa ukizubaa masela wanakusaidia.....wewe YY!
tusihukumu jumlajumla... hata hapahapa JF ingekuwa inawezekana kupata shuhuda za wanawake walioshikana na waume zao kwenye shida ungeona kuwa sio wote wanasepa kama unavyosema.Hata Michele alichokuwa analalamikia ni kumkosa mume na baba wa watoto wake na siyo kuishiwa.
Yo Yo...[B said:more than 60 ya wanawake ukiishiwa wananuna na kusepa[/B] ukizubaa masela wanakusaidia.....
Naishi mtaani bibie,nakaa na wanawake,nafanya nao kazi kila mahali niko nao...nina dada pia,mama wadogo na shangazi......unahitaji data zaidi?What is the source of this info/data ndugu yangu....hata kama ni kukisia, why 60 and not 80 or 10? or even 2?
Naishi mtaani bibie,nakaa na wanawake,nafanya nao kazi kila mahali niko nao...nina dada pia,mama wadogo na shangazi......unahitaji data zaidi?