AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,651
- 4,758
Hiyo ruksa ndo naisikia kwako leo Mkuu,mmeandikiwa Kwenye Quran muoe more than one waifu?
KABISA...NA ASILI ILIBIDI UKITAKA KUOA UONEKANE UMEOA ILIBIDI UANZE NA WAWILI...Hiyo ruksa ndo naisikia kwako leo Mkuu,mmeandikiwa Kwenye Quran muoe more than one waifu?
Ukiwa mchamungu ndio inawezezekana...Kuna wengine hadi wanawachagulia waume zao wake wa kuoa,mmmmh yataka moyo lakini.
Unaweza kuwa Dunia hii hii lakini usijue mambo ya huku kwetu Tarime.....Uko dunia ya ngapi mwenzetu?
Niliskia hii aisee, sijui kiwango chao cha wivu ni zero,eti kuna Dada alimuandalia mumewe mpk nguo ya kuvaa harusini. Mimi hapana kabisaaKuna wengine hadi wanawachagulia waume zao wake wa kuoa,mmmmh yataka moyo lakini.
Duuh aisee, ndo mafundisho ya SAWKABISA...NA ASILI ILIBIDI UKITAKA KUOA UONEKANE UMEOA ILIBIDI UANZE NA WAWILI...
HUYO MMOJA NI HURUMA TU...
Ukiwa mchamungu ndio inawezezekana...
Niliskia hii aisee, sijui kiwango chao cha wivu ni zero,eti kuna Dada alimuandalia mumewe mpk nguo ya kuvaa harusini. Mimi hapana kabisaa
Mafundisho ya Allah S.A.W unakubali tu kiulainii😁Niliskia hii aisee, sijui kiwango chao cha wivu ni zero,eti kuna Dada alimuandalia mumewe mpk nguo ya kuvaa harusini. Mimi hapana kabisaa
Mafundisho ya Allah S.A.W unakubali tu kiulainii[emoji16]
Wewe upo tayari kuwa mke wa tatu? (If not married)Wengine wanawasindikiza hadi harusini.
Wewe upo tayari kuwa mke wa tatu? (If not married)
Okay, Shemeji akitaka akuongezee mwenzio upo tayari? From deep down of you're heart?Mie nimeolewa tayari.
Okay, Shemeji akitaka akuongezee mwenzio upo tayari? From deep down of you're heart?
Akii wana mioyo ya pekee. SafiiWengine wanawasindikiza hadi harusini.
Mueleweshe kwa vifungu ustaadha.Na Inshaallah,atakuwa mwenye kumieleweni.Tartiiibbb!!Uko dunia ya ngapi mwenzetu?
Aaah okay80% sina tatizo.
20% sitoi kwa vile sijui nani anamuoa.